most certs zinaanza 30usd na principle ni 1 cert per one phone bt kwa hyo bei ya elf25 kuna kila haja ya kufanya re-use of certElfu 25,000 .?
Certificate wanauza $20 abayo kwa exchange rate ya crdb ni sh kama sh 46,000 . Sasa huyo anaefanya cert ya s5 kwa sh 25,000 ujue unakuwa at risk maana atakua anatumia cert moja kwenye simu nyingi. Na baadae utashangaa imefungwa tena. Ila huyo wa sh 70,000 yaweza ikawa 1 cert per unit.
Sasa reuse of certs ndo hao wanaokuja kufungiwa baadae halafu wanalalamika. Wewe kama ni fundi mzuri na unataka kazi yako iwe clean fanya kama ulivyonunua. 1 cert per one phone.most certs zinaanza 30usd na principle ni 1 cert per one phone bt kwa hyo bei ya elf25 kuna kila haja ya kufanya re-use of cert
Tatizo sio TCRA Mkuu,Tatizo lako ni kama langu, nimenunua hii simu nje na ikafika hapa ikafanya kazi vyema kwa miaka 2 ila sasa hivi IMEI imebadilika.
Kwa kweli TCRA System zao ni mbovu saana, na sijui kwanini Tanzania tunafanya mambo ya kukurupuka kama haya, kwanini wasifanye majaribio na kujihakikishia juu ya hili jambo kabla hawajachukua hatua.
Mkuu, simu nilinunua tangu 2014 nje na ikafanya kazi vyema tu, mwaka huu mwezi wa 2 nikafanya factory reset maana ilikaa mda sana na ikawa na mambo mengi. Nikafanya na nikafanikiwa vyema na simu ikaendelea kufanya kazi vyema tu.Tatizo sio TCRA Mkuu,
Tatizo ni simu yako.
Mimi sishangai kwasababu unakuta mtu amenunua Samsung leo na baada ya miezi kadhaa imefungwa, sasa ukifuatilia utaona kuwa kule ilipotoka ilinunuliwa kwa plan, na deni halikuisha au yule alienunua ameiuza Africa halafua akasingizia imeibiwa, na IMEI/SN zinakuwa blacklisted, sasa blacklisted IMEI DATA BASE ni moja mkuu.
ila sijaelewa matatizo ya simu yako. IMEI imebadilika yenyewe, na inasoma IMEI zipi? je baseband ipo sawa? jaribu kupeleka kwa fundi aangalie modem part ya hiyo simu, labda ilikuwa inafanya update na zone yako na country of origin vikatofautiana jibu kwanza state ya simu yako: IMEI, ila sio salama kuanika IMEI hapa ( weka First 6 digit )
Mkuu, simu nilinunua tangu 2014 nje na ikafanya kazi vyema tu, mwaka huu mwezi wa 2 nikafanya factory reset maana ilikaa mda sana na ikawa na mambo mengi. Nikafanya na nikafanikiwa vyema na simu ikaendelea kufanya kazi vyema tu.
Cha ajabu wiki moja na nusu ilopita simu ikawa haisomi mtandao, nikawafata tigo ndo wakasema ni simu na sio wao. Imei inaanza na 00049........
0049xxx hii ni Emergency IMEI, ukiwa na imei hii unaweza piga simu za emergency tofauti na ukiwa na null IMEI.00049
Hiyo null ndo haiwezekani kurepair imei?0049xxx hii ni Emergency IMEI, ukiwa na imei hii unaweza piga simu za emergency tofauti na ukiwa na null IMEI.
Kurepair IMEI sio kazi rahisi kama wewe sio mtaalam sana wa EFS, so bora uipeleke kwa mtaalam alie karibu na wewe. kwasababu itakuhitaji kuwa na repair box kama z3x, octopus
Ila unaweza uka recover IMEI kwa kuflsh original firmware.
Null inawezekana mkuuHiyo null ndo haiwezekani kurepair imei?