Mk
Mkuu mimi samsung note 1 gafla haisomi lain wala network haipandi na baseband haisimi pia unaweza kunirekebishia?samsung cyo kwamba zimefunguwa, imei number au serial number huwa ziko blacklisted au nyingine huwa zina corrupted imei ambazo huwa zinasomeka kama hvi... 000490............ and so on. sababu ya imei kuwa blacklisted ni pale inapotokea imei za cmu yako zimefanana na za cmu nyingne may b kwa kuwa hzo imei zaliwahi tumika zikaandikwa kwenye cmu nyingne au certificates za bure zilizopo mitandaoni ambapo kila aliyetumia hyo certificate atakumbana na hlo tatizo na kuna kitu kinaitwa super imei kwenye tools km BST au OCTOPUS... hizi ni imei zinazotolewa na tool husika na kila mwenye hyo tool anaweza kuzitumia so imei moja inapotumiwa mara nyingi inakuwa blacklisted.. SOLUTION.. kubadili imei kama hyo cmu inasupport imei change ila ni KINYUME NA SHERIA ZA TCRA na ni KOSA LA JINAI kwa cmu ambazo hazisupport imei change basi yakupasa kununua certificate ambayo itakuja na imei na serial number