Samsung wasipoiga design ya iphone 12 basi apple wamepunguza wafuasi

Mzee hv ukiuza shamba utabaki kusema lako??. Na iphone 12 hajaproduce displays ask me why
Sasa kama Samsung anatengeneza display kali na kuiuzia Apple utasemaje Apple anazo display kali kushinda za Samsung. Angekuwa na display kali angenunua za Samsung ambazo ni low quality? Kwanza display gani ya iPhone inakaa mbele ya display bora zaidi ya Samsung.
 

The point ni kwamba samsung anawatengenezea apple display kali, yeye anaweka za kawaida kwenye cm yake
 
Elezea vitu anavyo copy
Hio picha nilioweka cha kwanza hicho.

1. Dark mode
2. Widgets
3. Download manager
4. Desktop browsing
5. Apple pencil
6. Display za oled
7. Edge to edge designs
8. Qi wireless charging
9. Dual ois
10. Hey siri
11. Tap to awake
12. App drawer
13. Pip mode
14. App permision
15. Default apps etc

Nikikaa nikitulia nikianzia 2007 nina uhakika wa kuandika mambo zaidi ya 100 ya hawa jamaa wanavyocopy toka waanzishwe.
 
The point ni kwamba samsung anawatengenezea apple display kali, yeye anaweka za kawaida kwenye cm yake
Hivi mkuu hata umewahi kushika side to side flagship ya samsung na Apple? Even simu za zamani kama s6 ama Note 5 zina Display kali sana kurival iphone za sasa.

Naweza kutumia s8 na Vr box 2020 nikaona movie ama 3d movies ama 360 video kwa quality nzuri tu ila display pixelated za iphone haziwezi.
 
Hahahah unajua kinachofanya tofauti kubwa ni software endeshi.

Apple iOS iko vizuri kwenye hardware optimization kuliko Androids na ndio maana Camera sensors zile zile za Sony zikiwekwa kwenye iPhone zinakuwa na matokeo mazuri kuliko zikiwa kwa Sony wenyewe au kwa Samsung!

Japo kwa android zinaweza kuwa optimized zaidi kukiwa na dedicated camera software mfano kwenye simu ya Huawei P20 pro waliwapiga bao jamaa wote sokoni akiwemo iPhone kwa maana Camera ilikuwa super optimised ikawa inatoa picha za ubora wa hali ya juu sana. Na hapo ndipo walipomtibua Trump yakaanza mazengwe.
 
Kuhusu display Samsung kasupply za iphone x tu.. oled sahv apple wana display zao super retina xdr
Display ni hizo hizo tu sema wana re-brand na kuweka signatures zao tu. Enhancement kidogo kisha unaipa jina. Hao Apple display zao toka awali wanaziitaga Retina displays ila sasa wame re-brand na kuita Retina XDR to push sales za iP12.

Samsung signature ni "Super Amoled" ila kimsingi ni oled display tu sema wanafanya refinements tu.

Sony nao wana signature ya "Trilluminous oled display" sema oled ya Sony iko raw! The same panels wanazotumia LG. Zenyewe haziko over saturated kama Amoled display ambayo imeongezewa vibrance effect ambayo iko kwenye simu za samsung tu. Ndio maana zina glow ya pekee compared na simu nyinginezo yani ukiangalia tu unajua hii kitu ni ya Samsung.
 
Hiyo style ya camera ipo Motorola siku nyingi
 
Reactions: _ly

wataiga wengine lakini sio samsung.

kama unakumbuka iphone x notch imeigwa na wajinga wajinga kibao,but mkorea hapendi shobo,akaja na yake pinhole camera.
 

Nani alianzisha?? Hivyo vyote??
 
Mkuu , usipoteze muda kuwajibu watu Kama Hawa . Nikionaga hivi nahisi Kama kansa ya ubongo au mtindio .Hawataki kuelewa ni isheeps hao hata apple akileta foldable phone watasema ni revolutionary acha wapigwe tu

Endelea kutumia android me nko ios hzo android sijawai tumia. Ila kubali kataa iphone ndo baba lao suala la kucopy hakuna campun ya sim isiyo copy technology kama huipend apple wewe tu tajir.. naisubiri 12pro hapa now.
 
Samsung bado sana.

Kipindi cha nyuma niliwaona wa maana sana il a sasa kuna chuma kinaitwa one plus.
 
Mkuu hapo umefeli suala la kucopy sio kwenye cm tu hadi kwenye vitu vingine kutokana na technology inavokua apple kuwa na os yake ni big deal hakutaka kuwa android huko
Ios imetengenezwa kabla ya Android utasemaje ni big deal kaikataa Android? Enzi hizo Karibia Kila kampuni ilikuwa na Os yake.

Na hapo huja refute idea kwamba wanacopy.

Ingia website ya Ifixit kisha tafuta teardown yoyote ya iphone uone wanapotoa vifaa vyao. Hawa jamaa most of time wananunua tu vifaa kwa wengine na kupachika pamoja na kutoa simu. Wakiona tech nzuri wanacopy

Na Ole wako wagundue unacopy kitu chao, watajitutumua dunia nzima wajue.

Wameishtaki kampuni ndogo ya viungo vya kula yenye wafanyakazi watano tu kuwa logo yao inafanana na yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…