T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 10,560
- 34,591
Sasa kama Samsung anatengeneza display kali na kuiuzia Apple utasemaje Apple anazo display kali kushinda za Samsung. Angekuwa na display kali angenunua za Samsung ambazo ni low quality? Kwanza display gani ya iPhone inakaa mbele ya display bora zaidi ya Samsung.Mzee hv ukiuza shamba utabaki kusema lako??. Na iphone 12 hajaproduce displays ask me why