BROKE BOYS
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,215
- 39,040
Samsung bado sana.
Kipindi cha nyuma niliwaona wa maana sana il a sasa kuna chuma kinaitwa one plus.
Samsung ilikua zaman
Samsung bado sana.
Kipindi cha nyuma niliwaona wa maana sana il a sasa kuna chuma kinaitwa one plus.
ZipoHivi Kuna simu inayoigusa Samsung Galaxy Note 20 Ultra au Galaxy Z Fold 2
Angalia picha, kuanzia ya 1 hadi ya 5 zina performance nzuri kuliko s20 zote. Msimamo unaweza badilika kulingana na matoleo mapya yatakayo toka.Simu gani mkuu
Ios imetengenezwa kabla ya Android utasemaje ni big deal kaikataa Android? Enzi hizo Karibia Kila kampuni ilikuwa na Os yake.
Na hapo huja refute idea kwamba wanacopy.
Ingia website ya Ifixit kisha tafuta teardown yoyote ya iphone uone wanapotoa vifaa vyao. Hawa jamaa most of time wananunua tu vifaa kwa wengine na kupachika pamoja na kutoa simu. Wakiona tech nzuri wanacopy
Na Ole wako wagundue unacopy kitu chao, watajitutumua dunia nzima wajue.
Wameishtaki kampuni ndogo ya viungo vya kula yenye wafanyakazi watano tu kuwa logo yao inafanana na yao
Nyie nendeni mkaanzishe uzi wenu mpyaSisi wenye Tecno tunacomment wapi
Hapa umetutendea haki sie wanazi wa Huawei.mleta uzi umepuyanga...
.
hao Apple ndo mabingwa wa kuiga miundo ya sim za wengine mfano mkubwa ni macho matatu waliiga kuoka kwa huawei mate 20 pro, ukiangalia mate 20pro imetoka 2018 afu iphone 11 imetok 2019.
.
pia kwa ishu ya tyle wa kioo waliga kwa huawei p20 bro. fanya uchunguzi kbla ya kuleta uzi...
Tangu kifo cha Steve Ayubu hii kampuni inasua sua sana.Muundo wa ipad siku hizi
Muundo galaxy Tab zaidi ya miaka 3 iliopita
APPLE pia anacopy sana tu, pengine anacopy kushinda kampuni yoyote ile ya simu, vitu original kwake ni vichache sana.
nendeni kwenye forum yenu ya tecnospotSisi wenye Tecno tunacomment wapi
Still Super Retina XDR 80% zinatengenezwa na Samsung!. Hilo Retina ni jina tu la Apple displays ila haimaanishi kua zinatengenezwa na Apple.Kuhusu display Samsung kasupply za iphone x tu.. oled sahv apple wana display zao super retina xdr
mkuu huyo dogo hajui chochote in short ni Isheep utajichosha kumueleweshaupo duniani kwel mkuu??
ivi unajua kampuni inayoongoza kuuza vifaa vya simi ni ipi??
ivi unajua miaka ya karibuni kabla ya huawei kuwekewa vikwazo na trup, huawei ilikuwa inamburuza iphone kwenye sokoni??
chief kiukwel waga unaniuzi kuwaelimisha hawa mbuzi maana unachoma calories nyingi mnooo kutoa darasa na Isheep wanavichwa vigumu kuelewa Ata uweke ushaidi bado wanabisha waache ma slay queen wazee wa showoff wasiojua lolote waendelea kutamba uwanja ni wao mkuuHivi mkuu hata umewahi kushika side to side flagship ya samsung na Apple? Even simu za zamani kama s6 ama Note 5 zina Display kali sana kurival iphone za sasa.
Naweza kutumia s8 na Vr box 2020 nikaona movie ama 3d movies ama 360 video kwa quality nzuri tu ila display pixelated za iphone haziwezi.
Still Super Retina XDR 80% zinatengenezwa na Samsung!. Hilo Retina ni jina tu la Apple displays ila haimaanishi kua zinatengenezwa na Apple.
nendeni kwenye forum yenu ya tecnospot
Sahivi wanajaza Ram, camera 6, hakuna la maana jipya.Samsung ilikua zaman
chief kiukwel waga unaniuzi kuwaelimisha hawa mbuzi maana unachoma calories nyingi mnooo kutoa darasa na Isheep wanavichwa vigumu kuelewa Ata uweke ushaidi bado wanabisha waache ma slay queen wazee wa showoff wasiojua lolote waendelea kutamba uwanja ni wao mkuu
😁😁😁Sorry boss Sema Kuna ndugu zako niwabishi kichizimimi mwenyewe natumia iphone.
ila mnaniumiza sana mnapotujumuisha wote na baadhi ya wanazi wa apple
Sahivi wanajaza Ram, camera 6, hakuna la maana jipya.