Samsung wanatuibia kwenye hizi A

Samsung wanatuibia kwenye hizi A

Ukitaka ufurahie Samsung usinunue iliyo chini ya angalau laki 5, Km uchumi wako ni wa kawaida km mimi pambana upate angalau zenye bei ya kati. Mfano mimi nlinunua A50 kwaka 2019 hadi leo iko fresh sana na sioni tatizo, iko updated android 11 km simu ya mwaka huu tu.
 
Bongo simu nyingi ukinunua chini ya 500k(Bei halisi) basi umenunua matatizo
 
pale A02 inapokua bora kuliko A10
AMf6ME.jpg
 
Hawa jamaa washaona Africa tunabebwa tu na upepo pale A02 inapokua bora kuliko A10

A02 imetoka na A12
A01 imetoka na A11
A2 core imetoka na A10.

Hivyo si jambo la ajabu kwa simu ndogo ya mwaka huu kupita kubwa kidogo ya miaka 2 iliopita.

Galaxy A52s ni nzuri kuliko Galaxy S10, je wa S10 nao waliibiwa?
 
Nyie ndio mnaikimbilia(ga) kununua brand badala ya kuangalia good specifications...


Ni bora kununua tecno ya laki 5 kuliko samsung ya laki 5.

Unforgettable
Vyema ungeitaja hio Tecno na Samsung. Ila kwa experience Yangu simu za Tecno zipo overpriced sana, kushinda hata Samsung huku ukipata hardware za quality ndogo. Mara mia useme hata Xiaomi.
 
A02 imetoka na A12
A01 imetoka na A11
A2 core imetoka na A10.

Hivyo si jambo la ajabu kwa simu ndogo ya mwaka huu kupita kubwa kidogo ya miaka 2 iliopita.

Galaxy A52s ni nzuri kuliko Galaxy S10, je wa S10 nao waliibiwa?
Hivi galaxy A52s 5G inauzwa bei gani naona inasifiwa sana kwenye mitandao.
 
Hivi galaxy A52s 5G inauzwa bei gani naona inasifiwa sana kwenye mitandao.
Kitu kizuri kwenye A52s ni soc yake Snapdragon 778G, hii japo ni processor ya Midrange ila ni nzuri kushinda Highend kama snapdragon 835, 845, 855 etc.

Hivyo si lazima hio simu iwe Galaxy A52s zipo simu kama Xiaomi 11 lite 5G, realme master explorer na nyenginezo. Ila A52s ni All around nzuri zaidi.

Bei ni kama Milioni 1 ya kibongo.
 
Back
Top Bottom