Samsung wametoa Galaxy Note Edge flagship

Samsung wametoa Galaxy Note Edge flagship

Joeli

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
4,941
Reaction score
3,414
Haya tena wale wapenzi wa teknolojia hasa gajeti, leo Samsung wamezindua flagship yao kutoka familia ya Galaxy note amabyo inakwenda kwa jina la Samsung Galaxy Note edge.

Simu hii ina kioo klichojikunja tofauti na flat screen tulizozoea, kwa sasa hii ndio highest end phone kutoka Samsung.

samsung-unpacked-galaxy-note-edge-12_2040_verge_super_wide.jpg

Note Edge ina sifa zifuatazo, inaelekea kufanana kiasi na ndugu yake Note 4. Yenyewe ina metallic design, It has the same soft-touch back, blissfully without the fake stitching. Ina kamera yenye 16-megapixel, heart-rate monitor, processor, memory, software, Multi Window feature, kila kitu kama ndugu yake note 4.

samsung-unpacked-galaxy-note-edge-9_2040_verge_super_wide.jpg

Kwa sasa hii ndio simu kutoka samsung yenye nguvu kuliko simu zote. Ina Quad HD, 2560 x 1440 display kama kwenye Note 4, Ila hii kioo chake ni kidogo kidooogo ambayo ni inchi 5.6 tofauti na 5.7 ya note 4.

Wakati huo huo

Sony nao wamezindua familia ya simu na tablet za Z3 ambazo ni xperia z3, z3 compact na Z3 tablet compact

sony-xz3-375_verge_super_wide.jpg

sony-xz3-381_verge_super_wide.jpg

vyanzo: theverge.com
 
Minazipenda sana ZTE, hivi ni ZTE gani ni nzuri kabisa kwenye soko la android.
 
Galaxy note 4 haina jipya, ila hii note 4 edge imeleta innovation kidogo hapo kwenye hiyo curved screen. ingawa kwa left ended ni useless,,,, ,, kila mtu macho na masikio hadi sasa ni tar 9 sep, Apple akichemka tu hii note edge ndio simu ya mwaka ikifuatiwa na LG g3,,, . ila IFA kabla haijaisha nangoja Lumia series nione maana Nokia by Microsoft brand imetuhaidi "SuperMan" Cc: chief-mkwawa
 
Ngoja tuone huyo Apple nae atakuja vipi hiyo tar 9

inabidi atoe kitu unique cha kuipoteza hii curved display ya note 4 edge. pia azindue kitu cha ziada kuzipoteza hizi VR Gear. Gear Watch na Gear Circle. Ila kudadeki VR Gear ni shidaaaaaaaa up to now. hii ndio best gadget ktk IFA 2014
 
again cool stuff from samsung...i like the curve thing idea....

sina uhakika sensibility yake itakuwaje huo upande curved, maana inaweza kuwa ni shida kidogo...
 
Galaxy note 4 haina jipya, ila hii note 4 edge imeleta innovation kidogo hapo kwenye hiyo curved screen. ingawa kwa left ended ni useless,,,, ,, kila mtu macho na masikio hadi sasa ni tar 9 sep, Apple akichemka tu hii note edge ndio simu ya mwaka ikifuatiwa na LG g3,,, . ila IFA kabla haijaisha nangoja Lumia series nione maana Nokia by Microsoft brand imetuhaidi "SuperMan" Cc: chief-mkwawa

die hard wa apple walishaanza kupanga foleni tayari, mimi pia ni die hard wa apple lakini kwa leaks nazoziona mitandaoni kama ndiyo wanabadili design kiasi hicho basi watanikosa, nitabaki na 5s yangu na nitanunua note edge maana imenivutia
 
again cool stuff from samsung...i like the curve thing idea....

sina uhakika sensibility yake itakuwaje huo upande curved, maana inaweza kuwa ni shida kidogo...

actually its the first cool stuff from samsung, i like the premium look, siyo miplastiki yao ya mwanzo! unasema sensibility au ulikuwa unamaanisha sensitivity? kama ni sensibility natumai ulikuwa unamaanisha practicality, usefullness, kanakuwa kama kadock flani hivi frequently used apps au functions zinakuwa easily accessible hapo, its an ingenious idea, mimi nilikuwa nawachukia samsung lakin hapa wamenivuta!
 
toka mwaka uanze kaka samsung wamefanya vizuri tena sana kaka.
1. isocell camera
2. metal frame
3. 20nm exynos processor (note 4, galaxy alpha)
4. curved screen
5. better amoled panel hadi kwenye tablets ni amoled
 
Ngoja tuone huyo Apple nae atakuja vipi hiyo tar 9
nafkiri kwa trend ya miaka 4 iliyopita , watatoa iPhone 6 yenye 4.5inch Screen na bei zake zitakuwa $649, $749 na $849 kwa 16GB, 32GB na 64GB respectively..
 
Back
Top Bottom