Samsung VS Other Android

Samsung VS Other Android

hapa wamejaa mabraza men na masister du,

hapo mfukoni hata laki huna,
 
Nilikuwa Mpenzi Wa Tecno Sana Kuanzia 2015 Wakati Walianza Kubadilika

Nilianza Kutumia Alcatel One Touch 360
Nikauza Nikanunua Tecno M3 Ambayo Nilikaa Nayo Sana Adi Nikanunua Boom J8

Tecno Wamekuwa Wakibadilika Sana...But Ivi Sasa Naona Wakibadilisha Camera Tu Na Capacity

Samsung Kusema kweli ni zaidi ya other androids phone
Nazungumzia in terms of graphics na uwezo wa simu zenyewe

Mfano samsung note 3, A3 na J5 Kwenda Juu...Huwezi Fananisha Izi Simu na Other Android

Personally Naona Samsung Wameanza Kuipiku iPhone Sanaa

They Are Ever Changing

Regards
Mkuu samsung ipo vzr, iko na simple interface na ukafanya multiple task bila ya 4n ku freez than other androids.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom