Simu za TECNO za android zinaonekana mbaya kwa sababu ya mediatek versions wanazotumia, mediatek versions nzuri ni helio P10, helio P15, helio P20, helio P25, helio X20, helio X23, helio X25, helio X27 na helio X30. Simu ikiwa na mediatek tofauti na hizo hapo juu, hiyo simu itakuwa mbaya, ikiwa na mediatek za hapo juu, hiyo simu ni nzuri sana. Mpaka sasa simu nzuri za TECNO ni mbili tu, Phantom 6 na Phantom 6 Plus, ni nzuri kwa sababu zina mediatek za helio X10 na helio X20 respectively.
Ukitaka simu nzuri ya bei rahisi ya mediatek, hakikisha ina mediatek ya helio P10 au helio P15 au helio P20 au helio P25 au helio X10 au helio X20 au helio X23 au helio X25 au helio X27 au helio X30. Tofauti na hapo hilo simu litakuwa baya tu.