Samsung VS Other Android

Samsung VS Other Android

Mi huu uzi kama chief mkwawa hajatia neno hapa haujakamilika!yule ndio mfunga mijadala wangu wa haya mapichapicha ya simu!
 
Phantom 6+ ni tatizo.hayo ma Samsung mnayapendea nini?
 
Umeangalia wapi/sehemu gani kwenye hiyo screenshoot?
Sijaangalia kwenye screenshot uliyoweka, hiyo screenshot haina maandishi yanayosema helio X10.
Nimeangalia google, screenshot yako inasema mediatek mt6753, kwa hiyo nikaenda google nikatafuta "mt6753 helio", page results zote zikanipa jibu la helio X10.
 
Asante mkuu!
 
Mnaleta mahaba badala ya ushaid mfano storage, ram , processor
.
iphone iphone ni nouma
 
of course SAMSUNG ziko poaa but tatizo lao ni moja tu.{ukitaka nzur ni expensive sana}

napendekeza ukatafute brand hii nayokutajia, nayo ni {Xiaomi}...awa jamaa wana simu kali sana na ni reasonable price na zna specs za atar ambazo nkikupa mfano wa spec za kwny simu ya laki 3 maybe {xiaomi Redmi 3x } kama ingekuwa samsung bas ungelipa zaid ya laki nane

Xiaomi is the best chinese smartphone and the leading Chinese smartphone seller
 
mkuu nimegundua kuwa humu ndani kuna wengi ambao wameanza kutumia hizi smart hapa karibuni ndio maana wanasifia samsung wakihisi ndio simu pekee
hivi kwenye hizi android kuna wenye simu za ukweli kama sony,htc na lg naona wengi wanafuata jina la samsung bila kujua na ubora wa simu nyingine
To a HTC hapo unatukana
 
simu zote zinazotoka mwaka mmoja,zinakuwa na ubora unakaribiana,karibu hutaweza ona tofauti,lakini ni mpaka vinara watoe kwanza,huanza samsung kutoa mapema katika mwaka kisha apple hufuata,kisha kampuni nyingine kubwa za simu.kama sony,lg,huawei,google nk.kwa hakika kama utatumia simu zote hapo juu utabaki kuchagua jina tu.

ila tecno bado sana.
 
Acheni kufananisha SAMSUNG na vitu vya kijinga
Kweli kabisa ukitumia utamani kurudi nyuma wala ushawishiki kubadilisha ndo mana watu wanakaanazo hata miaka mi 5 anabadili battery tu ila kazi inapiga fresh
 
Kweli kabisa ukitumia utamani kurudi nyuma wala ushawishiki kubadilisha ndo mana watu wanakaanazo hata miaka mi 5 anabadili battery tu ila kazi inapiga fresh
SAMSUNG MASHINE MZEEE
 
yaan mkitumia iPhone 6s hamtobishana tena maana ndio simu bora kila idara...respect to team iPhone woteee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom