Kibirizi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 604
- 146
Habari, nina tatizo moja nimenunua cmu aina ya samsung galaxy s2 lakini nikaja kugundua ni ya china, ila nilivyotuma IMEI namba nimepata msg ya ku verify kama ni original, sasa tatizo ni kwamba mimi najua manufacturer wa samsung ni Korea sasa hiyo china imekaaje. Je sijauziwa fake kweli? Msaada kwa mwenye ufahamu.