Samsung verifying originality

Kibirizi

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
604
146
Habari, nina tatizo moja nimenunua cmu aina ya samsung galaxy s2 lakini nikaja kugundua ni ya china, ila nilivyotuma IMEI namba nimepata msg ya ku verify kama ni original, sasa tatizo ni kwamba mimi najua manufacturer wa samsung ni Korea sasa hiyo china imekaaje. Je sijauziwa fake kweli? Msaada kwa mwenye ufahamu.
 
je hiyo meseji imekupa na maelezo jinsi ya kuverify au ipo juu juu tu..
 
Samsung is Korean, ila viwanda vingi - regardless wana plants China, kwa sababu ya cheap labour.
Usiwe na shaka. Unaweza kwenda website yao ufanye registration kama ipo, ili upate asilimia 100 za uhakikisho.
 
samsung mimi najua iko China ila Lg ndio product ya Korea

Kaka samsung ipo korea na kuna mji kabisa unaitwa samsung town upo korea ukitaka kufaham vizuri google...

Also about china hata I phone zinakuwa assembled china, sony products as ps3 zinakuwa assembled china, samsung etc.. Makampuni mwengi yanapenda kutumia china for product assembled as ni cheap in terms of resources compared na nchi zao na technology ipo vizuri so hata original dell, I phone, sony product inakuwa assembled in china
 
swala sio kama ni ya china bali angalia kama umepata verification code basi hiyo ni sawa feki huwezi pata sms ya verification
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom