poposindege
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 456
- 175
tcra washafanya yao
Imei yake inaanza na namba ngapi? Kama siyo 35 na badala yake ni 0049 tayari imepoteza imei number. Ila unaweza kuweka nyingine
Hadi sasa inaonesha hiyo hiyo au hiyo ndo ya toka zamani hujaangalia kwa sasa?Imei yake inaanza na namba ngapi? Kama siyo 35 na badala yake ni 0049 tayari imepoteza imei number. Ila unaweza kuweka nyingine
Hadi sasa inaonesha hiyo hiyo au hiyo ndo ya toka zamani hujaangalia kwa sasa?
pole nunua nyingineWadau kama kichwa kinavyojieleza. Nina simu ya samsung s4 GT-I9500
tatizo lake ni hilo. Mnara unaoneka network imejaa lakini ukijari kupiga inatoa majibu kwamba
Not register on network. Naomba msaada wa kutatua tatizo hilo
View attachment 474650
Nchek private nkusaidieWadau kama kichwa kinavyojieleza. Nina simu ya samsung s4 GT-I9500
tatizo lake ni hilo. Mnara unaoneka network imejaa lakini ukijari kupiga inatoa majibu kwamba
Not register on network. Naomba msaada wa kutatua tatizo hilo
View attachment 474650
Wadau kama kichwa kinavyojieleza. Nina simu ya samsung s4 GT-I9500
tatizo lake ni hilo. Mnara unaoneka network imejaa lakini ukijari kupiga inatoa majibu kwamba
Not register on network. Naomba msaada wa kutatua tatizo hilo
View attachment 474650
Ukifanikiwa utujulishe, tupo wengi tulikumbana na tatizo kama hilo