samsung s3

samsung s3

chokamb

Member
Joined
May 29, 2012
Posts
72
Reaction score
6
nahitaji samsung galaxy s3 kwa mtu yeyote aliyekuwa nayo na iwe kwa bei nafuu kabisa.(used)
 
kama u a laki 5 ni pm tufanye biashara
 
Ipo s2 mpya haina hata mwezi kama upo tayari cal 0684 010124 dom
 
wewe acha domo sana kama huna nia ya sisi tufanye biashara then keep it shuted
 
Kama huna haraka wiki moja nina sumsung s3. Tshs 600. Brand new.
 

Attachments

  • 1370393518653.jpg
    1370393518653.jpg
    236.8 KB · Views: 163
Mkuu, mbona unatafuta S3 wakati kuna S4 imeshatoka? Au ni kwa kuwa vya kale ni dhahabu?!
 
Hizo Galaxy S4 bei zake zimesimama sana, hapa kwetu bila kodi ya mauzo zipo $700.00+
 
Mkuu hii umempa bei nzuri sana ingawa hukusema kama ni mpya au used.
Mpya pale Xpress Telecom +255684981777 ni 950K-VAT incl.na warranty ya 2 yrs.
Chokamb angalia vizuri, hizi simu ikiwa bei rahisi sana hata kama ni used omba ushauri usije ukauziwa ya wizi ukashikwa na na ngozi ya mbuzi au ukauziwa ya kichina ukajuta.Umeusoma uzi wa simu za wizi?
Kama huna haraka wiki moja nina sumsung s3. Tshs 600. Brand new.
 
pm nikupe yangu nimetumua only one month ila ni SIII Halafu ina warranty ya mwaka Kwa ma agent wote wa Samsung all around the world Bei Nataka $300
 
Back
Top Bottom