samsung s3

samsung s3

Mkuu hii umempa bei nzuri sana ingawa hukusema kama ni mpya au used.
Mpya pale Xpress Telecom +255684981777 ni 950K-VAT incl.na warranty ya 2 yrs.
Chokamb angalia vizuri, hizi simu ikiwa bei rahisi sana hata kama ni used omba ushauri usije ukauziwa ya wizi ukashikwa na na ngozi ya mbuzi au ukauziwa ya kichina ukajuta.Umeusoma uzi wa simu za wizi?

Mkuu huo uzi mi sijausoma umepita lini jamvini niutafute?
 
nahitaji samsung galaxy s3 kwa mtu yeyote aliyekuwa nayo na iwe kwa bei nafuu kabisa.(used)

Mkuu jihadhari sana na hizi simu za mitumbani hasa unapoona mtu anakupunguzia beimsaaaana. Pia na tafadhali usijenunua simu iliyokuwa unlocked toka kwenye kampuni ya American Telephone And Telegraph(AT&T) itakula kwako zinazingua mbaya.
 
Back
Top Bottom