wakiona mmemwagikia huko wanaweka premium features kisha wanauza bei za hizi flagship
.
kwa wakati huu sioni umuhimu wa expendable storage maana kuna option za usb storage nk.
ila pale kwenye charger kuchafua mazingira ndio naomba msaada aliyeelewa jamani binafsi sielewi
.