Samsung kutoka Vietnam ni original au Copy?

Vietnam hata viatu kutoka huko sio magumashi...Vietnam wana viwanda vingi sana vya bidhaa zinazoenda Nchi zilizoendelea na hapo Cambodia ndio watengenezaji wa Saa za kisasa hata Swiss kaweka viwanda vyake vingi vya kutengeneza saa hapo Cambodia na ni Nchi tunayoingia kwa Visa ya ukifika hapo hapo unapewa siku Tisini...
 
Navyojua mimi ukiacha korea kuna viwanda vinavyotengeneza/ unganisha simu .zipo samsung za INDIA na VETNAM hasa matoleo ya A , natumia A ya vetnam napia nimeshatumia ya india. Hazina shida.
Hizi
1697918703260.jpg
 
Mfano hizi za Copy tayar wana Samsung a74 wakati kwa mujibu wa Samsung a74 itazinduliwa November 23 mwaka huu
1697918703260.jpg
1697918374713.jpg
1697918356036.jpg
1697918343073.jpg
1697918356036.jpg
 
Yangu imeandikwa DESIGNED AND ENGINEERED BY SAMSUNG MANAFACTURED IN VIETNAM katika utafiti wangu wa kina nikabaini ni simu original mwaka wa nne sasa ninayo niliwahi tu kuitumbukiza kwenye maji kioo kikafa nikashindwa kupata original nikaweka feki na ndio kinanitesa sasa
 
lazima itakuwa ni copy tu, sumsung ni za Korea kusini, huko ndio hutoka original.na ndio wamiliki.
acha kukariri mkuu zipo samsung nyingi zimetengenezwa Vietnam tena ni original asikwambie mtu ila suala la copy ni popote pale maana hata huyo mkorea anaweza kutengeneza copy
 
Yangu imeandikwa DESIGNED AND ENGINEERED BY SAMSUNG MANAFACTURED IN VIETNAM katika utafiti wangu wa kina nikabaini ni simu original mwaka wa nne sasa ninayo niliwahi tu kuitumbukiza kwenye maji kioo kikafa nikashindwa kupata original nikaweka feki na ndio kinanitesa sasa
pole mkuu ila ahsante kwa kuleta ushahidi humu
 
Na inashare kioo na samsung za kawaida za uk or us?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom