Tafuta Samsung made in Urusi au Iran ni og.Nimepita pita madukani kuuliza Samsung nakutana na Samsung made in Vietnam jee hizi ni Samsung original au ni Copy?
Maana kwa mawazo yangu Samsung zinatoka Korea
Toka hapa hata wewe si originalHakuna kitu original Tanzania,narudia tena,hakuna kitu original Tanzania
Hv hizi A series walizitoa kwa mtiririko au randomly? Yaan walitoa A10,A11,A12,A13,A14 up to A73 au walikua wanarelease randomly mfano leo A54 Kesho wanatoa A50So far duniani hatuna simu original inayoitwa samsung galaxy A74, samsung walisha declare kufika ukomo wa kuzalisha A7x series, ambapo galaxy A73 ndiyo lilikuwa toleo la mwisho.