Samsung kutoka Vietnam ni original au Copy?

Haijaandikwa using south korea's technology?? Kwasababu unaweza kuta hiyo ni assembly point tu lakn wahusika ni hao hao wakorea wa kusini
 
Haijaandikwa using south korea's technology?? Kwasababu unaweza kuta hiyo ni assembly point tu lakn wahusika ni hao hao wakorea wa kusini
Huo ni urembo tu bhana! Hizo simu zinatambuulika kabisa zinazitengenezwa vetnam na india.sio viwanda feki vina sifa.
 
Nimepita pita madukani kuuliza Samsung nakutana na Samsung made in Vietnam jee hizi ni Samsung original au ni Copy?

Maana kwa mawazo yangu Samsung zinatoka Korea
Zipo samsung za vietnam na india pia si utest kwa zile test za kujua if ni samsung origional? (hapa JF zishajadiliwa sana) ni maduka ya Dar au mkoani?
 
Nahisi Samsung nyingi zimeandikwa made in Vietnam hata Mimi nilishawahi kununua Samsung original lakini ni made in Vietnam sijawahi kuona made in Korea
 
Ya kwangu ni made in Vietnam ... A series haijawahi nletea wenge ....

Iko karika ubora ule ule wa Samsung
 
Mnasahau kuwa ule wote ni ukanda wa electronics. Hata Malaysia, Singapore, Taiwan.
Jumlisha Japan Hongkong na baba lao. China.
Wa Asia wametuacha mbali sana waafrika kuanzia misri mpaka SA. Hakuna mtabe wa electronics.
 
  • Thanks
Reactions: _ID

Similar Discussions

Back
Top Bottom