Hii vita ya Samsung na Google ni balaa๐.
Samsung inaripotiwa kutengeneza mfumo mpya wa Galaxy OS unaolenga kuunganisha teknolojia ya AI kwa kiwango cha juu zaidi! ๐ค๐ฑ
Galaxy OS ni jina la mfumo wa uendeshaji unaoripotiwa kuwa Samsung inawaza kuutengeneza kwa vifaa vyake vya Galaxy kupitia huo mfumo kutaku na mambo mengi tu mojawapo:
โ
๐ค AI yenye uwezo mkubwa zaidi: kusaidia kufanya kazi mbalimbali kwa kutumia akili bandia.
โ
๐ฑ Muunganiko bora wa vifaa: kuunganisha simu, smartwatch na vifaa vingine vya Samsung.
โ
โกkurahisisha baadhi ya kazi za kila siku kupitia huo mfumo wa Galaxy Os.
Lakini Bado hakuna uthibitisho rasmi kwamba Samsung wataamua kuachana na Android au Mfumo wake wa One UI na Kuanza kutumia mfumo mpya wa Galaxy Os.
Unaonaje hii Vita Galaxy Os Vs Android ๐ au bado Samsung itaendelea kumtegemea Google tuachie maoni yako โ๏ธ.
#bongotech255