Samsung j5 haisomi line

Greg50

JF-Expert Member
Feb 11, 2014
1,953
2,431
Wakuu msaada,

Samsung j5 model no. SM-J5008 mpya kabisa nikiweka line inasema ‘mobile network unavailable’ . Yeyote mwenye kujua jinsi ya kutatua tatizo hilo, au ambae anafahamu anaeweza kutatua tatizo hilo amtag hapa niweze kwenda hewani wakuu.

Shukrani.
 
Kwanza kabisa hiyo simu ni toleo la china, pili zipo clone za hiyo simu.

Verify imei namba zako kama ziko whitelist au blacklist kwenye website ya imei24.com usitumie ya tcra.

Bonyeza *#0011# kuangalia certificate status, kama ni dual sim utabonyeza line 1 au 2 tuma screenshot hapa.

Kwa msaada zaidi fika kwa fundi wa software aliye karibu yako.
 
IMG_0003.JPG

Hii ndio screenshot ya certificate
 
Nishafanya Hizo qkazi Kama Mbili
But Inshort Hizo Simu Zina Mawenge!
Peleka Kwa Fundi Kuna Jumper Atatkiwa Aweke Kutoka Kweny Body I Connect Na GSM Antenna Tatizo Litaondoka Otherwise Ni Software Issues

Shukran sana
 
Mara nyingi kesi yako hiyo inakuwa modem hardware imefail, jaribu kutafuta nvram kutoka kwenye simu iliyonzima uiandikie kama itagoma hiyo ni hardware .
Na ukizingatia kaka nimewapelekea mafundi wa software Waiflash lakini bado tatizo liko pale pale

Smart guy
 
Back
Top Bottom