Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,210
- 44,170
una uhakika simu nzima una app mbili tu?Sasa unanishauri ni install apps nilizodownload recently maake ninedowload hike pamoja na we chat
una uhakika simu nzima una app mbili tu?Sasa unanishauri ni install apps nilizodownload recently maake ninedowload hike pamoja na we chat
Nooo zipo nyingi sema hizi nilizidownload recently kabla ya tatizo halijaanza je nifute zote auuna uhakika simu nzima una app mbili tu?
moja ndio ina tatizo mkuu, kabla ya kufuta zote inabidi hio moja uijue, sometime inakuwa haina jina, hakuna app ambayo haina jina? unaona tu blank ukiscroll.Nooo zipo nyingi sema hizi nilizidownload recently kabla ya tatizo halijaanza je nifute zote au
Yaani speaker yake ipo upande upi?unamaanisha unataka simu yenye speaker kubwa?
speaker ipo pembeni ya camera, upande mmoja ni flash na mwengine ni speakerYaani speaker yake ipo upande upi?
Nimeiona nilikuwa ninunue mda huu ila nimeangalia videos tena naona haina magnetic sensor which means no compass nawakati niliyonayo nilitaka kuikibia kwasababu hiyo hiyospeaker ipo pembeni ya camera, upande mmoja ni flash na mwengine ni speaker
![]()
mkuu seems una mambo mengi unayohitaji kwenye simu, ungeyataja yote ingekuwa vizuri ili kupata kifaa kizuri.Nimeiona nilikuwa ninunue mda huu ila nimeangalia videos tena naona haina magnetic sensor which means no compass nawakati niliyonayo nilitaka kuikibia kwasababu hiyo hiyo
Asante bruh nimekuelewamkuu seems una mambo mengi unayohitaji kwenye simu, ungeyataja yote ingekuwa vizuri ili kupata kifaa kizuri.
nimecheki simu za around bei hio naona galaxy A3 inayo, zote original na ya 2016 sema mi sikubaliani na battery ya original, japo sio mbaya kivile.
pia umeshafikiria simu second hand? kwa budget hio unapata galaxy s5.
baadhi ya simu brand nyengine zenye compass bei hio ni huawei p8 lite, xiaomi redmi 3, moto g series