Samsung ipi nzuri?

Mimi ni mdau mkubwa wa kutumia Samsung nimetumia Galaxy Ace 1 na 2 pia S1,S2,S3,S4,S5 na S6 kwa Samsung galaxy note nimetumia note 1, 2, 3, 4, na note edge kasoro note 5, note 7 na S7 ila kati ya zote nilizowahi zitumia nimejikuta nimenasa kwenye Samsung galaxy note 4 na note edge. So nakushauri nunua Samsung Galaxy note kuanzia note 3 kwenda juu hutojutia pesa yako. Kwanza zinakaa na chaji kuliko galaxy S pia hazipati hojo ukilinganisha na matoleo ya galaxy S
 
Nadhani uko sawa kabisa. Hizi S ni shida tupu. Nina note S7, ina matatizo makubwa. kwanza picha siyo sharp, resolution very poor, leo ime-stack not responding to any operation , in built in battery, hivyo huwezi kuzima/kutoa battery na uka restart mpaka usubiri charge iishe ijizime, hopeless edition! Sodayu nifanye kwa ku stack hivyo!
 
Hivi kuna note s7 kweli duniani ? Kama ni note 7 si zilifungiwa sababu zilikua zinalipuka au !!!!!
Nina s6 edge imetulia tu sana mbona na uzuri wa samsung ikiharibika vifaa vipo hata ukitaka kubadili sucket nzima unaipata
 
You might be right ni tablet ......
 
Back
Top Bottom