ndama mtundu
Member
- Nov 8, 2015
- 7
- 0
Natafuta Samsung galaxy S5, S4 used kwa sh 100,000/ .
Nicheki 0718090892 nitumie picha whatsapp nikiipenda tutafanya biashara.
Nicheki 0718090892 nitumie picha whatsapp nikiipenda tutafanya biashara.
Laki moja!!!?[/QUOTE
ndiyo
Nimecheka kinoma kuona tangazo lako ...but ipo hii s6 edge inatakiwa elf 90
Nimecheka kinoma kuona tangazo lako ...but ipo hii s6 edge inatakiwa elf 90
mkuu hyo nakupa 60
hakuna zile za kiume mkuu?,yaani za keyboard,maana hizo za kugusa ni za wanawake,,,,,,,,,,Nimecheka kinoma kuona tangazo lako ...but ipo hii s6 edge inatakiwa elf 90
hahahahahahahaha ni Tanzania pekeyake ndio unaweza pata kwa ela hiyo,labda kwa wizi mtu akiiba Teja akiiba atakuuzia