Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,229
- 44,239
specs wise ni kama galaxy j7 ila ina battery kubwa la 5000mah.Mkuu ebu icheck hii Lenovo Vibe p1 unaizungumziaje katika nyanja zote
Kwa bei ya 400k used
View attachment 468596 View attachment 468597
specs wise ni kama galaxy j7 ila ina battery kubwa la 5000mah.
kama battery ndio kitu muhimu zaidi chukua mkuu sio simu mbaya
ndogo sana mkuu, hata experience nzuri ya kutumia simu hutaipata, unless unainunua bei rahisi sanaMkuu Chief-Mkwawa vipi kuhusu soc ya
cortex-A7 na Gpu ya mali 400mp? Zikoje perfomance wise?
kwengine ni kawaida mkuu kwa hio bei, simu nyingi zina specs kama hizoNa nyanja nyingine vipi mkuu
asilimia 99 haitapata updates,Hivi Samsung Grand Prime Plus+ itapata Nougat Update kuna Chalii hapa kazini kainunua tayari?
asilimia 99 haitapata updates,
1. ni simu ya bei rahisi huwa kikawaida hazipati updatesIlishapata update ya 6.0.1 maana ilikuwa 6.0 so kwanini haitopata hiyo Nougat?
1. ni simu ya bei rahisi huwa kikawaida hazipati updates
2. ni simu ya mediatek hizi pia si rafiki wa updates.
custom rom na mediatek ni jangwa na mito ni nadra sana kuzikuta, tatizo ni mediatek wenyewe hawatoi source code za soc zaoDuh! hadi custom ROM tu sasa ndio ikubali ila itapatikana maana Samsung ni very popular company kwenye smartphone zao huwa mod nyingi mtandaoni na kwa haraka
custom rom na mediatek ni jangwa na mito ni nadra sana kuzikuta, tatizo ni mediatek wenyewe hawatoi source code za soc zao
quad core inamaanisha hio processor ina core nne. hizo x4 na x8 umeziona wapi?Na x4 Quad Core Processor na x8 Quad Core Processor inautifauti gani na ubora wake ni upi?
quad core inamaanisha hio processor ina core nne. hizo x4 na x8 umeziona wapi?
quad core inamaanisha hio processor ina core nne. hizo x4 na x8 umeziona wapi?
Hamna bhana kuna sim hapa inasoma CPU core count 8 au kuna utofauti ukisema x8?!!
na zina ubora gani ukikuta inasoma core 4 au 8?
mkuu huo ni wingi tu wa core, hauna maana hadi ujue nguvu ya core 1.
mfano cpu inaweza kuwa na core 8 lakini zote ndogo na cpu nyengine ikawa na core 4 lakini zote kubwa mwisho wa siku yenye core 4 kubwa ikawa na nguvu zaidi.
kama zitakuwa core zote zipo sawa basi yenye core 8 itakuwa na nguvu zaidi na uwezo wa kufungua mambo mengi kwa mpigo kuliko core 4.
na core 8 inaitwa octa core na sio quad core, core nne ndio quad core.
angalia kwenye hizo core hakuna maneno yamendikwa cortex a53, a72, etc? kama yapo yaandike hapa nitajua nguvu zake
huwa simu mpya zinazingua ku root mwanzo, model yake ni ipi? cheki setting halafu about kuiona, jaribu kugoogle njia ya kuroot kwa kutumia hio modelNimekuelewa na Hii grand prime plus+ ni ngumu kuroot nimejaribu apps lakini inagoma una suggestions?
huwa simu mpya zinazingua ku root mwanzo, model yake ni ipi? cheki setting halafu about kuiona, jaribu kugoogle njia ya kuroot kwa kutumia hio model