Ha ha ha sema kenya sasa kupata mtu wa kukununulia ni ishu kenya hadi vyombo bya muziki ni nusu ya bei ya Tz ila sasa namna ya kuvinunua ndio ishu. Kuna jamaa waliniambia wanatuma nikaona nitapigwa hapanimezicheki hapa jumia hizo bei ni meh!
simu ya dola 74 hadi 99 inauzwa laki 4, redmi note 3 imefika laki 5 na nusu, redmi 4 (ambayo sio note ) inauzwa laki 6, hizo bei nafunga safari naenda kenya nanunua narudi nakaa hoteli ya chumba 100,000 nakula vizuri na change inabaki.
almost amezidouble kila eneo.
tunarecomend xiaomi sababu bei zao ni ndogo ila bei ikiwa hivyo inakuwa haina maana, mfano kama redmi 4 inauzwa hio 590,000 si bora tu ninunue galaxy s6, why nitoe hela yote hio kununua mchina ambae ana specs ndogo kwa bei?
Mim walinitumia Mkuu..uzuri nmelipa after delivery.Ha ha ha sema kenya sasa kupata mtu wa kukununulia ni ishu kenya hadi vyombo bya muziki ni nusu ya bei ya Tz ila sasa namna ya kuvinunua ndio ishu. Kuna jamaa waliniambia wanatuma nikaona nitapigwa hapa
kweli mkuu nilmuuliza jamaa wa Giant Electronics Xiaomi Redmi 4 High Edition, akanambia $250 nikaona pagumu, Wakati online nimenunua $165, na Standard edition unaweza pata kwa $135nimezicheki hapa jumia hizo bei ni meh!
simu ya dola 74 hadi 99 inauzwa laki 4, redmi note 3 imefika laki 5 na nusu, redmi 4 (ambayo sio note ) inauzwa laki 6, hizo bei nafunga safari naenda kenya nanunua narudi nakaa hoteli ya chumba 100,000 nakula vizuri na change inabaki.
almost amezidouble kila eneo.
tunarecomend xiaomi sababu bei zao ni ndogo ila bei ikiwa hivyo inakuwa haina maana, mfano kama redmi 4 inauzwa hio 590,000 si bora tu ninunue galaxy s6, why nitoe hela yote hio kununua mchina ambae ana specs ndogo kwa bei?
Ipi bora kati ya Xiaomi Redmi 4 Prime na Xiaomi mi 4Cnimezicheki hapa jumia hizo bei ni meh!
simu ya dola 74 hadi 99 inauzwa laki 4, redmi note 3 imefika laki 5 na nusu, redmi 4 (ambayo sio note ) inauzwa laki 6, hizo bei nafunga safari naenda kenya nanunua narudi nakaa hoteli ya chumba 100,000 nakula vizuri na change inabaki.
almost amezidouble kila eneo.
tunarecomend xiaomi sababu bei zao ni ndogo ila bei ikiwa hivyo inakuwa haina maana, mfano kama redmi 4 inauzwa hio 590,000 si bora tu ninunue galaxy s6, why nitoe hela yote hio kununua mchina ambae ana specs ndogo kwa bei?
mi 4c ni nzuri mkuu, snapdragon 808 ni flagship level ya mwaka juzi, ina power kushinda cortex a53 za sd 625Ipi bora kati ya Xiaomi Redmi 4 Prime na Xiaomi mi 4C
hio soc haina tofauti sana na galaxy j7 ya kawaida zote ni core 8 za cortex a53Vp kuhusu Samsung J7 prime nimeshangaa nayo chipset yake tofauti
Yani mkuu hizo simu za xiaomi na redmi nazitafuta sana. Ninayo xiaomi moja hivi ina ttzo la screen tach. Nimezunguka dar nzima nimekosa hiyo kioo chake.mambo madogo tu mkuu, ram yake ni kubwa na cpu yake ni average ila gpu ni ndogo na sababu ni mediatek kuna vitu kama virusi, jiandae. nimeiona madukani 250,000 bei sio mbaya compare na competition zinazopatikana madukani.
ila kama una uwezo ni bora utafute simu za xiaomi mkuu, redmi 3 au redmi 4a ina specs za maana kushinda hadi simu za laki 5 au 4 za samsung na wengine wanaopatikana Tanzania. na bei zake zote ni chini ya dola 100. zipo kenya tu hapo official kama una uwezo jitahidi kutafuta hizo.
Weka namba yake mkuu.Mim walinitumia Mkuu..uzuri nmelipa after delivery.
Unataka namba ya Office au Argent aliyenitumia?maana Argent hawez kukutumia bila wewe ku place order yako Ofisin wakishai process ndo argent anapewa akutumie while anawasiliana na wewe.Weka namba yake mkuu.
Mi nataka namba ambayo niki- place order nilipe on delivery.Unataka namba ya Office au Argent aliyenitumia?maana Argent hawez kukutumia bila wewe ku place order yako Ofisin wakishai process ndo argent anapewa akutumie while anawasiliana na wewe.
Hawatak u place order kwa namba,una place order mtandaoni kwenye website yao then wao wenyewe wakati wana process order yako wanakupigia ili wa confirm,n then una pay after delivery.Mi nataka namba ambayo niki- place order nilipe on delivery.
mkuu naomba mawasiliano yao hata kama ni website yao nitashukuru sanaHawatak u place order kwa namba,una place order mtandaoni kwenye website yao then wao wenyewe wakati wana process order yako wanakupigia ili wa confirm,n then una pay after delivery.
hio ni ya mediatek mkuu, tafuta ya snapdragon 650View attachment 463124 Mkuu hii una
izungungumziaje performance yake naf hata ,4g support na je kwa note 4 na hii bora ipiView attachment 463123 ?
hio ni ya mediatek mkuu, tafuta ya snapdragon 650
nilikisahau hicho kipengele cha note 4, hio redmi note 3 peformance yake ni zaidi ya note 4 ila idara nyengine kama camera, display, spika, kalamu na vitu vyengine note 4 ni nzuri zaidi.Kama ipi mkuu ila iwe juu ya note 4 mkuu?
Na je hii huawei mate 8 ina compete kwa note 4?nilikisahau hicho kipengele cha note 4, hio redmi note 3 peformance yake ni zaidi ya note 4 ila idara nyengine kama camera, display, spika, kalamu na vitu vyengine note 4 ni nzuri zaidi.
kwa muono wangu si vyema kutoka note 4 na kwenda hio xiaomi, labda utafute xiaomi mi 5 ndio utakuwa una upgrade, na bei ya mi5 ipo juu kidogo kama dola 300 hivi
Na je hii huawei mate 8 ina compete kwa note 4?
Na vipi note 4 kama nikiagiza nje ni bora zaidi au hapa Tz tu ya international version maana nahofia na kodi inaweza sumbua bei ikazidi?
Kama unajua mtandao ambao naweza ipata kwa reasonable price nisaidlie mkuu hiyo note 4!