Samsung Galaxy S6 "imeliki " .

Samsung Galaxy S6 "imeliki " .

we ndo "smartphone freak" na sio WAHEED SUDAY. kama screen size kubwa ni kila kitu iPhone ingekuwa haiuzi. sio kila mtu anapenda kuwa na 5" phones. angalia watu walivyoshabikia Z1 Compact. na pia ukumbuke Samsung na HTC hutengeza mini flagship devices. each and to his own preferences kaka

And who said screen size ndo kila kitu?
Nmesema ni among the most preferred features kwenye smartphones.Trend ya biashara ya smartphones inaonesha screen size zinasogea from time to time and thats what majority like.Hayo mengine ya ''mm sipendi screen kuuubwa' yanakuwa ni personal interests ambazo ofkoz ht manufacturer hawawez ku-rely on them.U know why galaxy note 3,HTC one Max,Lumia 1520 earned that fame.Wanavotengeneza mini flagships ni katika ku-capture all kinds of customers in the entire market with atleast biasness put at minimum.
 
Last edited by a moderator:
Duh,sasa kmbe we wapenda screen size za aje?
Moja wapo ya preferences maarufu kwenye; smartphone ni pamoja na screensize kubwa,...
u seem not to be a smartphone freak,bali wapenda Vi-apps tu na touch!

Tupo wengi tusiopenda screen kubwa! Screen ikizidi 4.3 inch kwangu mimi naona hiyo ni tablet sio simu ya kukaa mfukoni.

Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
 
Aliye Post maada hakufanya Uchunguzi makini.... Hzo znaitwa Concerpt phones... Za kufikirika... Hata s5 bado haijatoka ndo tuwaze s6?? Pia untill now kuna android 4.4 so hata last year im notsure kama kutakua na android 6..... Kuwa makin next time kabla ya ku post
Kwa nyongeza amesema hiyo s6 itatoka pia mwaka huu kama s5. Sidhani kama samsung wana policy ya kutoa series ya aina moja mara mbili kwa mwaka. Yaani s5 na s6 au note 4 na note5. Hawafanyi ujinga huo ni lazima kuwe na gap kidogo ya kuwezesha kurufisha gharama kwasababu ukitoa toleo jipya ktk series moja maana yake lile toleo la zamani linashuka thamani. Mtoa mada awe makini kidogo
 
Back
Top Bottom