Samsung Galaxy S6 "imeliki " .

Samsung Galaxy S6 "imeliki " .

The Fixer

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2008
Posts
1,365
Reaction score
599
Huu ndio muonekano mpya wa Samsung Galaxy S 6 kama ambavyo wajanja wamei likisha mtandaoni na mwaka huu utaingia sokoni rasmi lakini inasubiriwa tu tarehe ya S5 kwanza ambayo ni February 24 mwaka huu ipite kwanza waone duniani wataipokeaje S5 kabla ya kushusha S 6

Samsung " Life Companion " !
 

Attachments

  • 1391610388304.jpg
    1391610388304.jpg
    22.8 KB · Views: 939
Kama kweli itakua hivyo basi muonekano wake ni wakawaida sana, itakua imepitwa hata na huawei p6
 
Lakini issue inaweza ikawa sio muonekano ila IMEKUJA NI KITU KIPYA GANI KATIKA OPERATIONS ZAKE na storage kwa Ujumla ndio itakuwa issue hapo !
 
Inakuja na OS Android 6.o with "Gravityux " Wataalamu watatuambia hii ndio kitu gani hasa !
 
Hiyo ni concept phone mtu kafanya modelling ya 3D kapachika kwenye net wala sio leak ya Samsung Galaxy S6 wala nini
Samsung hawa-operate hivyo. Hakuna simu ya samsung itakuja kutengenezwa yenye muonekano wa ovyo hivyo.
 
Daa kama ni kweli basi ni nomaa!
 
Huu ndio muonekano mpya wa Samsung Galaxy S 6 kama ambavyo wajanja wamei likisha mtandaoni na mwaka huu utaingia sokoni rasmi lakini inasubiriwa tu tarehe ya S5 kwanza ambayo ni February 24 mwaka huu ipite kwanza waone duniani wataipokeaje S5 kabla ya kushusha S 6

Samsung " Life Companion " !

.
Hiyo ni mtu tu katengeneza ana wa fool watu
yani galaxy haiwezi kuwa ki hivyo kaka
.
Na zitakuja na curved body galaxy s6 pamoja na iphone 6.
.
.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...hwe-kinachojiri-kwa-sms-bure-mwaka-mzima.html
.
 
Hiyo ni concept phone mtu kafanya modelling ya 3D kapachika kwenye net wala sio leak ya Samsung Galaxy S6 wala nini
Samsung hawa-operate hivyo. Hakuna simu ya samsung itakuja kutengenezwa yenye muonekano wa ovyo hivyo.

Naona Mzee una uhakika kama vile ni CEO wao mdogo ? Haaaaaah
 
Naona Mzee una uhakika kama vile ni CEO wao mdogo ? Haaaaaah

.
Kaka no research NO right to speak hah
.
What the hell graphic desiger kaisha ku fool tayari lol
.
Kweli mtu atoke
.
Kwenye hii
.
SamsungGalaxy_S4_review_03-580-90.JPG

.
Aende kwenye hii
attachment.php

.
Alafu tuseme kapiga hatua lol
 
Labda unipe shule kidogo kwani tatizo ni nini kama akitoka hiyo ya kwanza na kuja hii ya pili ? To me i think thats just a designing tu !
 
Uongo mtupu, eti Android 6! Hakuna hata tetesi za android 6 wao samsung wameshajua itakuwepo, wapi na wapi au samsung ndo watatengeneza hiyo android 6, acha kwanza hiyo s5 ije tuone kaongeza nini kwa watumiaji ingawa nimesikia tetesi ina screen ya 5.24" ambapo mi si muumini wa screen kubwa kwangu ni disappointment kwa s5
 
Labda unipe shule kidogo kwani tatizo ni nini kama akitoka hiyo ya kwanza na kuja hii ya pili ? To me i think thats just a designing tu !

.
Wanacho kiangalia ni impression kwa wanunuaji usione wanazunguka uka kuta iphone 4 / iphone 5 / iphone 6 / na mwakani iphone 7 na mpaka wana change display size lakin ni aina moja ya simu
yani yote hiyo ni kutafuta soko tu kwa watumiaji
.
Ona saizi lg wana test mapenzi ya watu kwa curved body lg g flex yote hiyo ni kuangalia mapenzi ya watumiaji wengi ona na samsung wame create na wao curved smart phone....... Na tetesi ndo hizo iphone 6 itakuja na curved body
.
Yaani ni impression tu kaka kwa watumiaji
sas kweli Galaxy s6 ije kama hivi
.
attachment.php

.
Lol
 
Ndio kama hizi hapa !
 

Attachments

  • 1391618979031.jpg
    1391618979031.jpg
    31.2 KB · Views: 145
Kwahiyo waliosema itakuwa hivi ni sawaa ??
 

Attachments

  • 1391619047543.jpg
    1391619047543.jpg
    43.8 KB · Views: 168
Aliye Post maada hakufanya Uchunguzi makini.... Hzo znaitwa Concerpt phones... Za kufikirika... Hata s5 bado haijatoka ndo tuwaze s6?? Pia untill now kuna android 4.4 so hata last year im notsure kama kutakua na android 6..... Kuwa makin next time kabla ya ku post
 
Naona Mzee una uhakika kama vile ni CEO wao mdogo ? Haaaaaah
Wacha ubishi mwingi kaka... Samsung naijua vzr zaidi ya unavofikiria. Sio lazima uwe CEO wa Samsung kujua vitu vidogo kama hivi, hivi hata mlinzi wa getini tu anajua..Na hizi concept phones zimekuwepo miaka mingi tu, so its such a shame umeziona sasa hivi.. Em google "Samsung S6 leak" uone utakavopata link nyingi na kila link ina simu tofauti... Samsung doesn't work on a future brand S6 huku haijarelease S5, future wanayoangalia wao sana sana hua ni research kwenye displays na chips lakini sio kukaa na product designer kutengeneza mambo ya ajabu hayo..
 
Uongo mtupu, eti Android 6! Hakuna hata tetesi za android 6 wao samsung wameshajua itakuwepo, wapi na wapi au samsung ndo watatengeneza hiyo android 6, acha kwanza hiyo s5 ije tuone kaongeza nini kwa watumiaji ingawa nimesikia tetesi ina screen ya 5.24" ambapo mi si muumini wa screen kubwa kwangu ni disappointment kwa s5

Duh,sasa kmbe we wapenda screen size za aje?
Moja wapo ya preferences maarufu kwenye; smartphone ni pamoja na screensize kubwa,...
u seem not to be a smartphone freak,bali wapenda Vi-apps tu na touch!
 
Duh,sasa kmbe we wapenda screen size za aje?
Moja wapo ya preferences maarufu kwenye; smartphone ni pamoja na screensize kubwa,...
u seem not to be a smartphone freak,bali wapenda Vi-apps tu na touch!

we ndo "smartphone freak" na sio WAHEED SUDAY. kama screen size kubwa ni kila kitu iPhone ingekuwa haiuzi. sio kila mtu anapenda kuwa na 5" phones. angalia watu walivyoshabikia Z1 Compact. na pia ukumbuke Samsung na HTC hutengeza mini flagship devices. each and to his own preferences kaka
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom