Samsung galaxy s5 vs tecno camon c9

Okay shukrani mkuu. But naona A series ziko ghali mno.
-On series
-J series

kuna na
A- series
C- series

na kuna
-S series
-note series

j na on ni za bei rahisi, mara nyingi zinatengenezwa na plastic nzuri kwa watu wasio na hela. unapata specs kubwa bei ndogo.

A na C almost specs zinafanana na J lakini zimetengenezwa kwa premium material, zina alluminium au glass, zinapata updates, wanazi optimize zinakaa sana na chaji, nzuri kwa watu wanaotaka simu nzuri bila kujali specs

Note na S series zenyewe ndio top of the line, specs kubwa, camera nzuri, design nzuri etc hizi ndio bora zaidi, zinauzwa bei ghali pia kwa wale wanaojiweza.

kama unajali specs A series sio nzuri kununua.
 
Sawa mkuu shukrani sana
 
Mkuu eti simu za meizu ni nzuri pia? Mfano meizu m3 note.
 
Mkuu eti simu za meizu ni nzuri pia? Mfano meizu m3 note.
compare na hao kina A8? hapana.

simu nzuri ya meizu ni meizu pro 5 yenye exynos 7420, hii ni equivalent na galaxy s6,

hio M3 note ni simu ya bei rahisi inayokupa specs kubwa ni nzuri compare na kina j2 au grand prime, simu za chini ya laki 3
 
Chief- Mkwawa unajua vitu vingi mpaka nakuogopa mkuu.... Hapa natamani nimpate mtu nimuuzie haka ka infinx hit s kangu ili japo nisogee kwenye hiyo meizu pro 5, maana naona kidogo itanifaa...
Big up sana mkuu, unatusaidia wengi aisee ktk hii tasnia
 
ni simu ya 2015 mkuu ila ni nzuri, pengine hadi hapo utakapo hela zikawa zipo simu kibao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…