Samsung galaxy s4 mini duos

The observer

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
211
225
Habari wanajamvi,
Nina mpango wa kununua simu tajwa hapo juu, katika pita pita zangu za kutaka kujua "user experience" za watumiaji wengine nikakutana na review ya mtandao mmoja wa wahindi (GSM Arena). Wengi wa waliotuma review kuhusu hiyo simu wanadai ina tatizo la kupoteza network na mpaka uzime na kuwasha tena ndio network irudi. Japokuwa sio wote wamepata tatizo hilo lakini majority wamelalamika. Sasa sijaua hapa bongo watumiaji wa simu hiyo kama nao wanapata tatizo la aina hiyo au la. Tafadhali naomba michango kwa walionunua na kutumia simu hiyo hapa bongo.

Nawasilisha!
 

AlP0L0

JF-Expert Member
Apr 23, 2011
5,074
2,000
Nina mwezi mmoja natumia simu hiyo sijawahi kukitana na tatizo hilo. Ni simu nzuri sana kwa wale tusiopenda masimu makubwa utadhani tablet.

Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom