Wakuu naombeni msaada,ntajuaje ipi ni feki.ninayo ambayo inaonyesha internal memory ni 5GB na phone memory ni 16 GB,ila nikii connect na computer inaonekana phonememory ni 1.23gb badala ya 16gb.au nimepigwa???????
Sidhani kama ni nature yetu ila leadership hakuna, na hii inatokana na mifumo tunayotumia ambayo mingi ni ya kuiga, copy and paste. Ubinafsi umetawala kupita kiasi.
Hamnaga kitu kama hicho. Hamna Samsung feki-clone ambayo ni copyright ya simu original. Clone ni feki na hazitengenezwi Korea zinatoka kwingine. Ukishanunua clone hiyo ni habari nyingine!!
Wakuu naombeni msaada,ntajuaje ipi ni feki.ninayo ambayo inaonyesha internal memory ni 5GB na phone memory ni 16 GB,ila nikii connect na computer inaonekana phonememory ni 1.23gb badala ya 16gb.au nimepigwa???????
Usijaribu kununua samsung zinafojiwa sana ni ngumu sana kujua ipi ni feki na ipi ni real, nunua htc au sony au amazon fire.
Hiyo umepigwa definately ila tembelea youtube kuna video za wataalamu wa simu wanaelezea hiyo fake na real samsungs, see the link below
Changa hilo zipo kariakoo zinauzwa laki na 20 mpaka na 80 ila ni copyright ya S4.
MKUU MSHANA JR, NIJULISHE HIZO S4 CLONE ZA 120K NAWEZA IPATA DUKA GANI? MI NAHITAJI HZO COPY.