Samsung Galaxy S4 (clone) nauza kwa laki 3

mkwawa vip simu? hazijafika? kama vip embu nichekie na source zako za uhakika. kabla sijatafuna ela.bei ya hapo juu lkn.
 
HAHAHHAHAH... NGOJA NIMTETEE,JAMAA NILISHAWAHI KUMUULIZA AKANIAMBIA ANATUMIA SIMU,NA KWENYE SIMU HUWEZI GONGA LIKES...
CC:chief-mkwawa

Mie nilimuuliza kuwa mara obvious atakuwa anatumia smart phone (with regard to the way he analyses them) na obvious kuna jf app ambayo ina option ya like. Je hapo tatizo linakuwa wapi lakini hakuwahi kunijibu.
Lakini juu ya yote jamaa huwa namkubali sana yeye CHIEF MKWAWA na Young Master wamekuwa na mchango mkubwa sana kwangu kwenye ulimwengu wa ICT.
 
Last edited by a moderator:
ni clone ya china au korea?

Naomba nimsaidie mkwawa kulijibu ilo ni simu za korea na nimewai kuimiliki na zihuza pia nisimu ambazo kama sio mjuaji wasimu unapigwa tu lasivyo umkute muzaji kwakweli kwa sababu tofauti nindigo sana nahasa kama hukuwai kuwa na s4 kujua tofauti inakua ngumu sana
 
HAHAHHAHAH... NGOJA NIMTETEE,JAMAA NILISHAWAHI KUMUULIZA AKANIAMBIA ANATUMIA SIMU,NA KWENYE SIMU HUWEZI GONGA LIKES...
CC:chief-mkwawa

Simu zinazotumia Andorid software zina option ya 'like', aache uchoyo. Nina Samsung Galaxy S Duos, ina hio option ya 'like'.
 
Galaxy 4 au 5 nisimu nzuri sana, ila nashangaa hiyo bei ya 350,000 .mtanisamehe sana wadau muhimu kuelimishana..
Ninaishi hapa Kologne Ujerumani Simu ya Sumsung Galaxy 4 inauzwa hapa Euro 360 na kwa pesa ya bongo ingekuwa sawa na Euro 360x21400tsh=? Ona mwenye hii tofauti na zinatengenezwa huku,,
Iweje dar iuzwe kwa bei hiyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom