samsung galaxy S3 mini inahitajika.

samsung galaxy S3 mini inahitajika.

neverthatserious

Senior Member
Joined
Jun 1, 2012
Posts
106
Reaction score
13
habari wana jf,nimeipenda sana hii simu na ningependa niwe nayo...ila nahofia kununua kitu fake
naomba yeyote anayefahamu maduka ambayo naweza kupata simu original
nipo Dar,natanguliza shukuran
 
ipo galaxy s3 GT-I9300 original imetumika miezi2 ipo kwenye hari nzuri aina tatizo bei 770,000 karibu sana
 
ipo s3 mini full box going for only 500,000/=tshs
my namba..0773 004348/0712 888 884
 
Pia ipo ya 450,000/ haijatumika namaanisha brand new.
karibu sana nipo samora na morogoro road jirani na ppf house
 
Ipo galaxy s3 imetumika wiki 3 naiuza kwa laki 6 cash rangi ni nyeupe gb16
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom