kama tundu la line ni dogo unatakiwa ukaikate line ili iingie. nenda maduka ya simu watakukatia.
![]()
Nimeuziwa hii simu ila ilikua Note For Sale kwa maana ya kuwa ilikuja kama sample. Sasa sehemu ya kuweka sim card imefungwa na pia tundu la line ni dogo sana. Wataalam naomba maujanja yenu tafadhali
Jamani hivi mtu kama hujui kiingereza kwanini ujifanye unajua? Hebu angalia hapo juu penye rangi nyekundu..! Una maanisha nini?
yangu nilipata manzese kwa wakala wa TIGO, kabla ya daraja ukitokea mjini.Mkuu Juakali naomba unielekeze kwa agent mmoja wapo ili nisizunguke sana. Samahani lakini
Jamaa wanakuzingua tuu sentence inaeleweka kabisa.Nilimaanisha Not for sale wakuu. samahani lakini