Nahisi ni adimu kwa huyo mtu mmoja, ifikie sehemu tukubaliane kuwa bei ya kitu chochote siku kinapotoka huwa iko juu lakini siku zinavoenda zinashuka kutokana na bidhaa zinazoendana na hiyo kuingia sokoni na kikubwa ni ushindani wa makampuni.
Bei kupungua ni lazima.
Saa ivi samsung wametoa simu zenye fingerscaner unaweza kuiloki kwa kutumia sensation ya damu kupitia ngozi, kama vile A3,A5,etc NOTE 5, na zingine kama wanavyofanya apple. Hivyo basi kwa kuongeza hiyo sifa hakuna mtu wa kutafuta tena NOTE 3 kwa 800K wakati 600K/700K anapata product yenye sifa zaidi ya hiyo kwa mantiki za kiteknolojia na ushindani wa biashara lazima ishuke bei kwa hiyo usishangae ikiwa ivyo.
Na huyo anaeuza hiyo bei unayoishangaa anaweza kuwa anataka kuufuta huo mzigo dukani ili awe na latest version .