ManiTek TV
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 410
- 159
bona una haki ya kuwaza hivi, kuna wengi wanaona kama watu naonana nao kwa nini nihitaji simu! Ni uamuzi tu ni kipi unakihitaji katika maisha yako.its ugly looking for me afterall kama tayari nina simu y would i want a watch with a camera.... kama nina iyo pesa ya kununua hii saa kwa nini nisinunue s3 tu ambayo ntapata vitu kibao??
dah mnawasahau kina peble walikua na smartwatch zamani pale mwc niliwacheki.
pebble ndo alioanzisha haya mapinduzi na saa yake ipo compatible na ios na android as long as zina bluetooth.
wakati galaxy gear haiwezi hata kutuma email huku peble zamani tu wanatuma txt na email
hizi ni baadhi ya feature za pebble
1. waterproof
2. unaicontrol kwa sauti
3. ina apps na games
4.inakaa na charge siku 5 hadi 7
5.inasomeka juani
6. unachange mikanda
7. ina themes zaidi ya 100
8. ina alarm na vibration
9.inatoa notification
10. ina backlight kutumia usiku
nafkiri pebble ndo anatakiwa apewe heshima ya kuwa wa kwanza kuanzisha mapinduzi ya saa na sio samsung
dah mnawasahau kina peble walikua na smartwatch zamani pale mwc niliwacheki.
pebble ndo alioanzisha haya mapinduzi na saa yake ipo compatible na ios na android as long as zina bluetooth.
wakati galaxy gear haiwezi hata kutuma email huku peble zamani tu wanatuma txt na email
Pebble nimeitaja kwenye makala inaelekea hukusoma sawa sawa, tunachozungumza ambacho ungeweza kuelewa kama ungesoma bila ya pupa ni kuwa Samsung ni big brand katika smartphone (No 1 in marekt share kwa sasa) hivyo kampuni kama Samsung kutoa kitu kama hichi athari yake ni kubwa katika soko kuliko Pebble ambaye ilikuwa ni kickstarters project iliyokuwa funded kwa crowdsourcing, iliingia sokoni ikiwa bugs watu wakaanza kuzirudisha. Pia kuna Nikefuel Band ambao baada ya kutoa second generation nao wamekwama.
Angalia Pebble walivyo "watoto" Sony walitoa smart watch muda mrefu baada ya Pebble sasa hivi wanatoa Smart watch 2, Pebble bado wameganda pale pale.
unachoongea wewe ni kumtenga masikini kisa tajiri katoa kitu kama cha masikini bila kuangalia anachokupa tajiri in terms of features.
samsung kaleta saa ambayo hata function ya email haina wakati pebble ana hicho kitu long time ago tena kizuri kuliko samsung still tumuite samsung kafanya revolution
pebble saa yake ipo compatible na android 2.3 pamoja na ios wakati gear ni note3 na s4 inafata simu kama s2 na grand wasahau kupata suport ya hii saa, je kama samsung mwenyewe anazitenga simu zake bado unataka tuite mapinduzi wakati ipo saa inayosuport android zote bila kujali huyu tecno au huyu sony.
saa inakaa na chaj masaa 25 ina maana kila siku uchaji kweli haya ni mapinduzi bwana millah? wakati pebble inakaa na chaji siku 7 unachaj kila wiki
galaxy gear hata mikanda huwezi badili ukiniuliza mimi galaxy gear ni simu ilioletwa umbo dogo ikaekwa camera na touch screen ila imefeli tayari na ndio maana samsung wanaandaa saa nyengine kuja kuireplace na sio mapinduz ya saa

Je Wachina hawana interest na ku-clone hizi, wafanye hivyo ili tuzinunue kwenye mzani buku!