Mbavu za Mbwa
JF-Expert Member
- Jan 2, 2011
- 303
- 155
Nilichogundua ni kuwa smartphone zote zina tatizo la betri sababu ya kufanya mambo mengi ya kwenye mtandao lakini kama uki disable matumizi ya intaneti Ace inakaa hata siku tatu bila kuchaji mimi ndio natumia,ila nimedisable matumizi ya intanetiTatizo lake ni betri mkuu. Haidumu kila siku lazma uchaji ka utakua ni mtu wa kuchat na kuperuzi.
Nilichogundua ni kuwa smartphone zote zina tatizo la betri sababu ya kufanya mambo mengi ya kwenye mtandao lakini kama uki disable matumizi ya intaneti Ace inakaa hata siku tatu bila kuchaji mimi ndio natumia,ila nimedisable matumizi ya intaneti
Ndg hiyo nliyobold hapo ikoje..i mean features zake..!!Ni average phone .uliitaka ni niarifu pia nokia lumia800
Ipo tayari zungumza
Ndg hiyo nliyobold hapo ikoje..i mean features zake..!!
Aiseee hii kitu imesimama kinoma yaani..sasa zinaanzia ngapi bei..!!Si nzuri kwa features ni mid smartphone lakini kama wewe unapenda smartphone kama pambo
(I mean matumizi ya kawaida na kujionyesha zaidi) hii smartphone itakufaa hasa kwa gals maana ndo imeshinda awards nyingi za design
umeona kioo chake? Ni 2.5d yani kimekaa curve kinakaribia 3d hakipo flat.
Feature nyengine ni kama
-phone memory 16gb
-ram 512mb
-speed 14.4 mbps
-camera 8mp
-processor 1.4 ghz single core
Kama hupend kuchakura chakura simu nzuri hii