[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Naona umetibuka nyongo!! Nunua simu za maana jombi! Badala ununue Iphone 15 pro max kama mimi unakimbilia mchina wa bei rahisi. Sasa unataka ku-roll-back software ya simu wakati watu wanasonga mbele? Kaishi Kwa Mparange huko ndiko waliko maskini wenzako, tena size yako ni simu za vitochi....