Hizi simu ziko vizuri sana..mapungufu hayakosekani kwa kila product. Hakuna simu inayojitosheleza.hata hizo s10+ ama iPhone x.bado zina mapungufu sana..back to the point hizi simu series ya A..huwezi kujilaumu..mi nilichukua A 20.ubora wake na wepesi wake sijutii..kuhusu uimara hilo mtu asikudanganye mara gorilla glass..hapa ni utunzaji tu wa mtu..nunua simu weka glass protector..then cover case..sio unanua simu unaitumia ilivyo naked ..unategemea nini ikidondoka..hilo limenitokea kwa s7edge..upuuzi wa gorilla glass..kumbe mbwembwe tu..hii A20 ipo faster kwangu kuliko s7 edge niliyokuwa natumia.
Chukua tu hii brand ni nzuri sana.Uzuri wao kila toleo lina uzuri wake tangu ni tumie Samsung haijawai kuniboaWakuu habari,
Nimekutana na hizi simu sokoni (Samsung A10, 20, 50, 90), ni toleo jipya la Samsung. Vp kuhusu ubora wake kwa ambao wanazifahamu au ambao tayari wanzitumia.
Nimevutiwa na bei ya A10 iko reasonable sana nataka nivute moja.
Msaada kwa wajuzi wa hii kitu.
Cc: wana jukwaa wote wa technology.
samsung wa ajabu sana, bei ya kioo ni sawa na bei ya simuA50 iko vizuri feature nyingi ina gorilla pia
A20 mdondoko mmoja wa maana kioo kwaheri
sema A50 bei mara 2 ya A20 ila iko vizuri zaidi ya sana specs kubwa bei nzuri kwa brand ya samsung
Hizi simu ziko vizuri sana..mapungufu hayakosekani kwa kila product. Hakuna simu inayojitosheleza.hata hizo s10+ ama iPhone x.bado zina mapungufu sana..back to the point hizi simu series ya A..huwezi kujilaumu..mi nilichukua A 20.ubora wake na wepesi wake sijutii..kuhusu uimara hilo mtu asikudanganye mara gorilla glass..hapa ni utunzaji tu wa mtu..nunua simu weka glass protector..then cover case..sio unanua simu unaitumia ilivyo naked ..unategemea nini ikidondoka..hilo limenitokea kwa s7edge..upuuzi wa gorilla glass..kumbe mbwembwe tu..hii A20 ipo faster kwangu kuliko s7 edge niliyokuwa natumia.
A50 iko vizuri feature nyingi ina gorilla pia
A20 mdondoko mmoja wa maana kioo kwaheri
sema A50 bei mara 2 ya A20 ila iko vizuri zaidi ya sana specs kubwa bei nzuri kwa brand ya samsung
Kwa bei yake ni reasonable hio A10 madukani kama 250k hivi version ya 2gb na 32GB storage.Wakuu habari,
Nimekutana na hizi simu sokoni (Samsung A10, 20, 50, 90), ni toleo jipya la Samsung. Vp kuhusu ubora wake kwa ambao wanazifahamu au ambao tayari wanzitumia.
Nimevutiwa na bei ya A10 iko reasonable sana nataka nivute moja.
Msaada kwa wajuzi wa hii kitu.
Cc: wana jukwaa wote wa technology.
sio mbaya iko vizuri hasa camera yake nzuri sana ya mbele na ya nyuma poa inatuza chaji vizuriMkuu A50 budget yangu hairuhusu, hapo nataka nivute a10 tu.
nikiona hiyo picha ya mwanangu Sankara dah naona ka nasoma makala yakeee, Bonge la viongozi waliowahi kupita, (picha inayoambatana na ID yako)Wakuu habari,
Nimekutana na hizi simu sokoni (Samsung A10, 20, 50, 90), ni toleo jipya la Samsung. Vp kuhusu ubora wake kwa ambao wanazifahamu au ambao tayari wanzitumia.
Nimevutiwa na bei ya A10 iko reasonable sana nataka nivute moja.
Msaada kwa wajuzi wa hii kitu.
Cc: wana jukwaa wote wa technology.
Kwa bei yake ni reasonable hio A10 madukani kama 250k hivi version ya 2gb na 32GB storage.
Sema usitegemee quality ya samsung, zinafanana tu na simu nyengine za kichina hivyo shusha expectation zako.
mwanangu TomathNamkubali sana Sankara mkuu.
Uyuu ni makerting wa REDMI so usitegemee kupata ukwelii hapaaShukrani mkuu Mkwawa, unaposema kama simu zingine za Kichina una maana ni jamii ya tecno?
A series ya Samsung sio nzuri bro hailast. Tafuta S series utaenjoyWakuu habari,