''samsung come and take a note next generation lumia coming soon''

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
30,708
39,785
Ni maneno ya chris weber vice president wa nokia kwenye mauzo akiwaambia samsung waje kuchukua notsi katika nokia world september 5 mwaka huu. Maneno hayo yanakuja baada ya samsung kumshinda nokia katika q2(april, may na june) baada ya kuuza unit 97 miilion dhidi ya zile za nokia 83 million.

1334186351026.jpg


Je nokia wanatuandalia nini?
 
nashukuru windws 8 itakuwa na mcsd na bluetooth,na 1080p video na screen za hd,hizi nisababu zakukosa wateja lkn wamejirekebisha.

hivi vitu muhimu kwenye soko la simu za juu
 
Back
Top Bottom