Hawa jamaa namna iyo ndo wanavyozidi kupiga pesa na hii ni baada ya simu zao nyingi mfano a21s hasa ndo simu iliyouza sana kwa samsung brand this quarte of the year hiiGood move, but sasa hivi Samsung naye anakuwa kama Tecno... unanunua A12, mwezi ujao inatoka A13 hujakaa sawa inatoka A14 na 15 aaaah hata kama ni mipango ya biashara
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji1787][emoji28][emoji1787] yeye vivo na mwenzie oppo wapo nafasi ya 5 na 6 wakiwa wameuza jumla ya 33 milion kwa wote wawili jumla ya simu walizouza ni 33millionKuna kitu kimetulia sana kinaitwavivo hawa jamaa hawavumi ila ukiwashtukia hutataja tena sumsung[emoji51]!.
Hah hahaha h[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji1787][emoji28][emoji1787] yeye vivo na mwenzie oppo wapo nafasi ya 5 na 6 wakiwa wameuza jumla ya 33 milion kwa wote wawili jumla ya simu walizouza ni 33million
😂😂😂Good move, but sasa hivi Samsung naye anakuwa kama Tecno... unanunua A12, mwezi ujao inatoka A13 hujakaa sawa inatoka A14 na 15 aaaah hata kama ni mipango ya biashara
Kumbe tupo safi aiseeTecno yupo nadhan kwenye top 20 ila kwenye top 10 hayupo
Mzee umegusa kwenyewe kabisa mi natumia Vivo yangu y20 ni balaaa sitaki kabisa kuwasikia Tecno ,infinix na hata sumsung maana sumsung amezingua sana kwenye haya matoleo ya A seriesKuna kitu kimetulia sana kinaitwa vivo hawa jamaa hawavumi ila ukiwashtukia hutataja tena sumsung[emoji51]!.