Samsung A51 vs Oppo reno Z

Oppo Reno Z.
Kioo chake ni amoled na ina HDR10 ubora wa picha ni mkubwa kuliko samsung A51.
Kwenye screen protection, oppo inatumia kioo cha gorilla 5 wakati a51 ni g3. g5 ni kigumu kupasuka kama simu ikianguka kwa urefu wa 1.2m kulinganisha na g3.

Kiuwezo, reno z inatumia mediatek helio p90 ambayo ina score nzuri kulinganisha exynos 9611 iliyopo kwenye a51
geekbench 5.1 p90 : single core 408
geekbench 5.1 exynos 9611: single core 347

Reno z inaweza kujaza betri kwa muda mfupi kwa sababu ina fast charge ya 20W na betri ya ukubwa wa 4035mAh
Samsung a51 charge yake ni 15W na betri ya ukubwa wa 4000mAh, hii kujaa itachelewa.

Vitu vingine viko sawa kwa kiasi kikubwa

Kama una bajeti nzuri kwa nini usichukue redmi note 10 pro?
 
Mkuu achana na hiyo A51 ni ya kawaida sana afu bei kubwa. Endelea kufanya utafiti ila kuna mdau kashauri hapo juu nami naungana naye kwa Xiaomi Redmi Note 10 Pro. Ingia google gsmarena uione.
Naskia Xiaomi wamefungua ofisi hapa Tz tayari.
 
Wamefungua ofisi nadhani last week nimeona taarifa yao
 
Hapo kuna mtu na mdai hela yangu kwa sasa yeye hana hiyo hela hvyo amesema nichukue simu moja kati ya hzo maana zipo dukani kwake bro
 
Mkuu achana na hiyo A51 ni ya kawaida sana afu bei kubwa. Endelea kufanya utafiti ila kuna mdau kashauri hapo juu nami naungana naye kwa Xiaomi Redmi Note 10 Pro. Ingia google gsmarena uione.
Naskia Xiaomi wamefungua ofisi hapa Tz tayari.
Tusaidie page zao au namba zao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom