Samsung A5 inaweza kubadilishwa betri?

Samsung A5 inaweza kubadilishwa betri?

1st KING

Member
Joined
Nov 2, 2018
Posts
6
Reaction score
1
Habari wadau, nlikuw nauliza simu aina ya samsung A5 zinabadilishwa betri?
 
Ndio inawezekana, hakuna simu isiobadilishika battery. Zipo ambazo zinabadilishika kwa urahisi na zipo ambazo ni ngumu kubadilisha kama hio.
 
Nakumbuka kuna Jamaa alikua na simu ambayo tulikua tunaiita desktop yani anatumia akiwa amechomeka kwenye socket akitoa tu imezima! Ni mfano wa hizo inbuilt battery ilikua HTC
 
Nakumbuka kuna Jamaa alikua na simu ambayo tulikua tunaiita desktop yani anatumia akiwa amechomeka kwenye socket akitoa tu imezima! Ni mfano wa hizo inbuilt battery ilikua HTC
[emoji23][emoji23][emoji23] mbna hatar yan yang nipo nayo mwaka wa nne...ukiwasha data tu saa moja na nusu imeisha
 
Yan ndo ubaya wa hizi in-built batteries zikipungua ufanisi inakuwaga tatizo sana
 
Wakuu sorry kwa kudandia thread na je vip kuhusu back cover ya samsung s7 zipo ninashida nayo
 
Yan ndo ubaya wa hizi in-built batteries zikipungua ufanisi inakuwaga tatizo sana
Nyingi mpaka ubandue kioo ndio uifikie betri !
Wakati mwingine zinakuwa zimewekwa gundi kali, Umakini wahitajika hapo hivyo tafuta fundi mzuri sababu Lolote laweza kutokea ikiwamo kuvunjika LCD ukajikuta unaingia gharama mpya za kureplace
 
Hivi Ukienda J Mall Kwa Dar es salaam
Ambao Hao Ndiyo Kitengo Cha Samsung Customers Care Unaweza Kupata Majibu Mujarabu.

Je Hizi Simu Zote Inbuilt Battery Mfano Samsung Galaxy J5 Prime Ina Maana Battery Ikisumbua Hakuna Ufumbuzi Ama Ndiyo Mdau Kasema Uangalifu Unahitajika Hasa Hao Mafundi
 
Back
Top Bottom