Samson wa Hotmix EATV ni mchochezi

sio watu wote ni wapumbavu kama ulivyo wewe.
nakushauri utazame tbc utakutana na habari unazozipenda wewe.

Tabia ya mtu ni ile imtokayo kinywani mwake, naona wewe ndio mpumbavu wahed!
 
aina ya watu wanao mskiliza huyo mtangazaj na kituo chenyewe ni chaga dema
 

Kwa nchi inayojipambanua kuwa ni ya kidemokrasia hiyo kauli ya Nape katibu wa itikadi na uenezi sio kauli nzuri na ilitosha kumfukuza katika uongozi,lakini kwa sababu nchi hii inaongozwa tofauti na inavyohubiriwa wajinga kama wewe ndio huishabikia na kuona ni sahihi..Jinga wew
 

Maoni yake kama "Samson" nayaheshimu sana, ila kumbuka sana, zamani tulikuwa na mihimili mikuu mitatu tu ya dola,
1.Legislature
2.Executive
3.Judiciary
Lakini kwa kupanuka kwa demokrasia kuna mhimili wa 4 umejiongeza wenyewe ambao ni MEDIA .
Sasa huyu mtangazaji anao uwanja mpana sana wa kuweza ku corrupt innocent mind za watu wasiojua vema siasa na wakamtafsiri tofauti na hatimaye majanga yakajitokeza. Ndio nikasema kama anapenda siasa achague moja basi, la sivyo impartiality itamuelemea katika kutoa habari.
 
Acha upuuzi, tunajadili uchaguzi mkuu hapa we unaleta kauli za Mwinyi za michezo na unasema zimeingizwa kwe hansad! Hansad ipi hiyo!!?

kwani maneno hayo yatafutika? hamna namna nape ameongea kwa uropokaji aliokua nao ameshindwa kupima maneno yake analeta maneno yenye tafsr tofauti nape ndio mchochez
 

Ivi we unajua kuwa kila siku kuwa kama wewe umepata na kuna mwingine hajapata? Basi mimi ckuwahi kusikia hiyo habari ndo nimeisikia leo.
 
Samson Mpuuze Hawa CHADOMO Wana Siasa Za Kitoto Kununua NGOs, Media, Wanaharakati Wa Amplify Agenda Zao Ili Waonekabe Wana Support.
Wakija Ballot Boxes Wanapigwa.
Isitoshe Hata ITV inajulikana kwa Mtu Yeyote Serious..., Labda Kipofu Tu

Toa ushahidi
 

Ukweli sikuzote unauma,yale magari 700 ya polis pamoja na magari ya maji ya washawasha kwa akiliyako yalikuwa yanaumuhimu gani kama kweli ccm inakubalika wasiwasi wa nn
 
Sio kazi yake.
Mji nga kweli kumbe kazi ya nani? Mi jana tu nilimsikia Lubuva akilisemea hilo jambo...akaulizwa watachukua hatua gani akajibu....halikusemwa wakati wa kampeni (kisheria) kwa hiyo wao tume hawawezi kufanya lolote kuhusu kauli hiyo!...sasa unaposema mshalimaliza siku nyingi sijui ndo unamaanisha nini..when is siku nyingi?...Poor you....will you ever think out of the box na kuona hatari ya matamshi haya ya kipuuzi ya Nape kipindi kama hiki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…