Samson wa Hotmix EATV ni mchochezi

We wa ajabu kweli, simply a gander, badala ya kumlaumu Nape unamlaumu Samson? Stupidity at its best

Hata kama Nape aliongea ki hoax za kisiasa Samson hapashwi kuyarudia mambo ambayo hayakua ajenda na kuyaandalia kipindi maalum. Utake usitake wanaomtuma watamkataa siku yakimkuta.
 

Hueleweki mkuu, habari za Rombo au?
 
Hivi kujadili kile alichokisema nape ndio kuwa na mahaba na chadema?Mleta mada cjaona uhusiano wa uchochezi na alichokisema samsom!Amechochea nini?

Amechochea wananchi wajiandae kukataa matokeo endapo ccm itashinda.
 

Samson anatumia vibaya HOTMIX kwa interests za upinzani, hajui madhara yake.Sijui utoto!
 
Ikiwa mpaka leo kauli ya Mwinyi "Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu" bado inajadiliwa itakuwa ya juzi kwa Nappe .

Kauli ya mwinyi inahusika na matokeo ya uchaguzi mkuu?
 
Hakika wewe hazikutoshi kama alivyo Nape. Maji yakishamwagika tena kwenye mchanga hayazoleki na watanzania walishaelewa msemaji wa chama alimanisha nini.

Basi na yeye angeelewa na kuishia hapo sio kupiga nduru.
 

Kwa hiyo habari haijarudiwa tena sio!
 
mleta mada umekula maharage ya wapi.?we ndo una mahaba na wezi wa rasilimali zetu.

Nani mwizi? Ukiambiwa uthibitishe unaleta gazeti mahakamani! chadomo bana!
 
Hapana, mwache aisifie chadema si ni amri ya kazini ili mkono uende kinywani,ila asituharibie Nchi.

Kwa Hiyo TBC inayoendeshwa kwa PAYE yangu kuisifia CCM wao ni kujenga Nchi sio ?
 
Kwa Hiyo TBC inayoendeshwa kwa PAYE yangu kuisifia CCM wao ni kujenga Nchi sio ?

Hata chadema wakishika dola TBC itawasifia tu kwa kuwa ni chombo cha serikali inayoongozwa na chama kitakachokua madarakani. Elewa hivyi ujitoe matongotongo.
 
mkuu ghost tafsiri ya "goli la mkono anayo nape"samsoni kasema goli la mkono ni kama la maradona hiyo ni tafsiri ya samsoni kila mtu ana haki ya kutoa tafsir anavyotaka lakini nape ndiyo wenye tafsiri halisi sasa usianze kutukana watu kwa kuwaita wachochezi ile hali ww hujakatazwa kutoa tafsiri yako na kama una ushahidi au ufafanuzi wa nape uweke hapa ili kufanya watu wasiendelee kutafsiri vinginevyo.
 
Hata chadema wakishika dola TBC itawasifia tu kwa kuwa ni chombo cha serikali inayoongozwa na chama kitakachokua madarakani. Elewa hivyi ujitoe matongotongo.

Kwa hiyo wewe tatizo lako kubwa ni CHADEMA kusifiwa ?
 
Amechochea wananchi wajiandae kukataa matokeo endapo ccm itashinda.

sasa hapo wakuwajibika ni Nape,kasema kwa domo lake maneno yale!Au ulitaka samson aseme Nape alisema goli la mkono ni ushindi wa haki na kweli!?duuuh akili za kiccm bhana,mbona kauli kama ''nchi haitatawalika'' huwa mnazirudia kuonesha mapungufu ya kiongozi husika aliyezungumza!
Do u hv to be this dumb simply bse u r one of them?
 

Kosa lake nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…