PISTO LERO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,819
- 1,455
Jamaa unaumia ukiona mwigamba.Mods unganisheni hii ndugu yetu nadhani sasa tungoje vikao vya chama hatuna sababu yakuanza kufanya name calling ,baada ya vikao wananchi tutaelezwa yanayojiri
Jamaa unaumia ukiona mwigamba.
sijakuelewa naumia kwa mwigamba kuwa msaliti au Mwigamba safari yake ya kisiasa ndio hiyo tena kasha itia matope huyo allie wake aliyemtaka kuwa mwenyekiti ni jinni na pepo kali watu wote wenye siha nzuri za kisiasa ndani ya chama chake anahakikisha anawaconfuse na kuwamaliza wapi Brave boy Kafulila, aliyekuwa mwenyekiti wa CDM mbeya kwusheney mbinti aliyekuwa Bavicha J shonza wote wametengenezea maudhi ya kuwaua kisiasa mwigamba amejigambua mwenyewe
Mwigamba ni mkombozi wa wanyanyaswa
farida, ww ni life failure, hapa unaweweseka tu, huna jipya. Acheni ubabe, udikteta na umangimeza.
Mwigamba ni mkombozi wa wanyanyaswa
farida, ww ni life failure, hapa unaweweseka tu, huna jipya. Acheni ubabe, udikteta na umangimeza.
.Katibu wa mbunge wa jimbo la Isimani(Tommu Malenga) anashikiliwa na JWTZ kwa tuhuma za kusafirisha na kuuza meno ya tembo.
Katibu huyo alishikwa jana Iringa Mjini katika ofisi ya mbunge wake Lukuvi.
Opalesheni hiyo ipo katika jimbo la Isimani na kuushika mtandao mzima wa uhujumu mali ya sili hasa meno ya tembo.
oparesheni inaendeshwa na JWTZ
Huyo ajiandae kukutana koleo la Ramadhan Igondhu, kisha waseme ni Chadema ndiyo wamemdhuru. Amedanganywa kuwa atafutiwa ile kesi yake ya uchochezi.Ukiona mwanachama wa CDM anaungwa mkono na magamba ujue kuna walakini mkubwa sana..
Tunahitaji watu kkama Mwigamba katika siasa za Tz sio hawa wanaopelekwa na viongoz wa vyama vyao. Jitambueni nyie Bavicha jamaa kafichua uozo wa chair na katibu wenu nyie mnamwita msaliti....
Arudi chama cha magamba kama Lukosi,huyu naona alitumwa na magamba!
farida, ww ni life failure, hapa unaweweseka tu, huna jipya. Acheni ubabe, udikteta na umangimeza.