Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,939
- 43,573
Tunahitaji watu kkama Mwigamba katika siasa za Tz sio hawa wanaopelekwa na viongoz wa vyama vyao. Jitambueni nyie Bavicha jamaa kafichua uozo wa chair na katibu wenu nyie mnamwita msaliti....
wewe una akili kama za watoto wa chekechea.
Nani ana hitaji kiongozi mnafiki na msema pembeni?
Tuna hitaji viongozi wajasiri sio huyu mnafiki.Tuna hitaji kiongozi anaye simama kuongea pale panapo stahili na hafichi kitu na si kuongea pembeni.
Tuna hitaji kiongozi ambaye anasema waziwazi hata kama atapingwa na wote.
Je tujiulize huyo mwigamba alishawai kusema hayo kwenye vikao?