Sample ya barua ya talaka

Sample ya barua ya talaka

kb52

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
336
Reaction score
110
Ndugu wana JF, naombeni msaada wenu kuhusu kuandika barua ya talaka. Hua nasikia tu talaka tatu. Zinaandikwaje?

Msifanye jokes, nipo serious.
 
Talaka huwa hivi. Kuanzia Leo wewe c mke wangu. Hiyo ni moja au nimekuacha nayo ni talaka moja. Au unajuwa wewe ni kama mama yangu nayo ni talaka. Hakuna talaka tatu kwa mara moja.
 
Mkuu yamekukuta nini? Au ndo unataka kumkimbia waifu kwa sababu ya yule dem wa kota?
 
Talaka, wewe bibi f mimi j nimekuacha kuanzia leo, unikome unikome ukiniona kimbia, ukipanda daladala ukanikuta shuka haraka, ukivuka barabara ukaniona usigeuke nyuma, kwenda kabisa kwenda mwana kwenda. Talaka si mke wangu.

mapenzi yakiisha hugeuka vita
 
Ndugu wana jf....naombeni msaada wenu kuhusu kuandika barua ya talaka. Hua nasikia tu talaka tatu. Zinaandikwaje?...msifanye jokes.....nipo serious

TALAKA SI MUKE WANGU NISIKUONE NYUMBANI KWANGU WALA MAKABULI YA KWENU HATA NIKIFA MSINIZIKE NIRUDISHIE NA VITU VYANGU VIFUATAVYO

  1. Kitanda futi 6
  2. DVD player
  3. Kabati la nguo
  4. Friji
  5. Dressing table
  6. Rice cooker
  7. TV flat screen nchi 32
  8. Pasi ya umeme ya sonny
  9. Laptop
  10. Blender
  11. Makochi
  12. Radio ya CD 3
  13. Simu ya nokia tachi screen
  14. Jagi la umeme modo 8
  15. Madafu 10
  16. CD 30 za UAMSHO ikiwemo ya kutekwa amir Farid
  17. Bendera20 za uamsho
  18. Kopi ya hati ya muungano
  19. UROJO wa FORODHANI bakuli 7
  20. Mchele wa basmat
  21. na 200,000/= za wazee
 
Talaka ya1: nakuonya mke/mume wangu una nafasi moja bado ya kujirekebisha kaa kwa wazazi wako kwa mwezi mmoja na nitakuja kukuchukua.

Talaka2: nilikupa onyo la kwanza tarehe, lakini umefanya tena nenda kwa wazazi wako kwa miezi 3 nadhani utakuwa umejirekebisha nitakuja kukuchukua.

Talaka 3: kama walivyosema wehenga "kunguru afugiki" sasa naona wewe umekuwa kunguru siwezi kukufuga ukiona sehemu nipo pita mbali watoto wangu nitawatafutia mama mdogo wa kuwalea. Usinitafute tena mbuzi wa mjini wewe unakula hadi mifuko ya rambo mchachu kama ndimu iloyochacha. Mwili unamakovu utafikiria batiki ya Kichina.
 
Kitu talaka ya tatu hii.

Kuanzia leo tarehe 07/11/2013 mimi kwamtoro Sudi Masudi nakuacha happiness win kwa kosa la kukukamata ugoni na kb52
Mashadi wangu wa tukio la ugoni ni Jewel shinjikazola na Ziltan
Ukitoka njee ya mlango wa nyumba hii toka leo, atakaye penda kukuoa upo sahihi kumkubali kwa sababu wewe auna mume.

Haachwi mtu hapa, nitakun'gang'ania hadi kieleweke. Nimechekaje umenitakatashia siku.
 
Talaka ya1: nakuonya mke/mume wangu una nafasi moja bado ya kujirekebisha kaa kwa wazazi wako kwa mwezi mmoja na nitakuja kukuchukua.

Talaka2: nilikupa onyo la kwanza tarehe, lakini umefanya tena nenda kwa wazazi wako kwa miezi 3 nadhani utakuwa umejirekebisha nitakuja kukuchukua.

Talaka 3: kama walivyosema wehenga "kunguru afugiki" sasa naona wewe umekuwa kunguru siwezi kukufuga ukiona sehemu nipo pita mbali watoto wangu nitawatafutia mama mdogo wa kuwalea. Usinitafute tena mbuzi wa mjini wewe unakula hadi mifuko ya rambo mchachu kama ndimu iloyochacha. Mwili unamakovu utafikiria batiki ya Kichina.
.
Hiyo ya tatu ni talaka kweli au ni mipasho ya taarabu ya hadija kopa?
 
Ndugu wana jf....naombeni msaada wenu kuhusu kuandika barua ya talaka. Hua nasikia tu talaka tatu. Zinaandikwaje? Msifanye jokes, nipo serious

Peleka jukwaa la dini mtafute gavana. atakupa maelekezo.
 
Talaka ya1: Nakuonya mke/mume wangu una nafasi moja bado ya kujirekebisha kaa kwa wazazi wako kwa mwezi mmoja na nitakuja kukuchukua.

Talaka2: Nilikupa onyo la kwanza tarehe, lakini umefanya tena nenda kwa wazazi wako kwa miezi 3 nadhani utakuwa umejirekebisha nitakuja kukuchukua.

Talaka 3: kama walivyosema wehenga "kunguru afugiki" sasa naona wewe umekuwa kunguru siwezi kukufuga ukiona sehemu nipo pita mbali watoto wangu nitawatafutia mama mdogo wa kuwalea usinitafute tena mbuzi wa mjini wewe unakula hadi mifuko ya rambo, mchachu kama ndimu iloyochacha, mwili unamakovu utafikiria batiki ya kichina

Hii kwenye red mwuzie Mzee Yusufu
 
Ingekuwa vema kama wangejibu walioewa talaka maana wako humu. Watueleze talaka walizopewa ziliandikwaje? Labda swali jingine ni kwamba je, bado wamezitunza?
 
Talaka, wewe bibi f mimi j nimekuacha kuanzia leo, unikome unikome ukiniona kimbia, ukipanda daladala ukanikuta shuka haraka, ukivuka barabara ukaniona usigeuke nyuma, kwenda kabisa kwenda mwana kwenda. Talaka si mke wangu.

Hahaha....umetisha mkuu
 
Talaka ya1: nakuonya mke/mume wangu una nafasi moja bado ya kujirekebisha kaa kwa wazazi wako kwa mwezi mmoja na nitakuja kukuchukua.

Talaka2: nilikupa onyo la kwanza tarehe, lakini umefanya tena nenda kwa wazazi wako kwa miezi 3 nadhani utakuwa umejirekebisha nitakuja kukuchukua.

Talaka 3: kama walivyosema wehenga "kunguru afugiki" sasa naona wewe umekuwa kunguru siwezi kukufuga ukiona sehemu nipo pita mbali watoto wangu nitawatafutia mama mdogo wa kuwalea. Usinitafute tena mbuzi wa mjini wewe unakula hadi mifuko ya rambo mchachu kama ndimu iloyochacha. Mwili unamakovu utafikiria batiki ya Kichina.
.

hahaha umenifanya nicheke! Ukikaribia msim wa talaka nitakutafuta
 
Tuwekee hapa barua na msg ulizokuwa unamtongozea ili tupate points za kuandaa barua ya talaka.
 
Back
Top Bottom