Hahaha umenifanya nicheke! Ukikaribia msim wa talaka nitakutafuta
nenda BAKWATA
talaka ya1: nakuonya
mke/mume wangu una nafasi moja bado ya kujirekebisha kaa kwa wazazi wako
kwa mwezi mmoja na nitakuja kukuchukua....
talaka2: nilikupa onyo la kwanza tarehe..... lakini umefanya tena nenda
kwa wazazi wako kwa miezi 3 nadhani utakuwa umejirekebisha nitakuja
kukuchukua,....
talaka 3: kama walivyosema wehenga "kunguru afugiki" sasa naona wewe
umekuwa kunguru siwezi kukufuga ukiona sehemu nipo pita mbali watoto
wangu nitawatafutia mama mdogo wa kuwalea......., usinitafute tena mbuzi
wa mjini wewe unakula hadi mifuko ya rambo.........., mchachu kama
ndimu iloyochacha,........ mwili unamakovu utafikiria batiki ya
kichina, ............
Hahahahaha! Hiyo ya tatu imenifurahisha mbuzi wa mjini kula hadi mifuko ya rambo du!Talaka ya1: nakuonya mke/mume wangu una nafasi moja bado ya kujirekebisha kaa kwa wazazi wako kwa mwezi mmoja na nitakuja kukuchukua.
Talaka2: nilikupa onyo la kwanza tarehe, lakini umefanya tena nenda kwa wazazi wako kwa miezi 3 nadhani utakuwa umejirekebisha nitakuja kukuchukua.
Talaka 3: kama walivyosema wehenga "kunguru afugiki" sasa naona wewe umekuwa kunguru siwezi kukufuga ukiona sehemu nipo pita mbali watoto wangu nitawatafutia mama mdogo wa kuwalea. Usinitafute tena mbuzi wa mjini wewe unakula hadi mifuko ya rambo mchachu kama ndimu iloyochacha. Mwili unamakovu utafikiria batiki ya Kichina.
ulipaswa uende kwa shekhe aliyewafungisha ndoa akuelekeze.Ndugu wana jf....naombeni msaada wenu kuhusu kuandika barua ya talaka. Hua nasikia tu talaka tatu. Zinaandikwaje?...msifanye jokes.....nipo serious
Hebu tupe uzoefu mkuu, kama vile una eksiperiensiWATU WANACHEZA NA TALAKA(red card) WANDUNGU USIOMBE YAKUKUTE,NI Nooooooooma.
Talaka ya1: nakuonya mke/mume wangu una nafasi moja bado ya kujirekebisha kaa kwa wazazi wako kwa mwezi mmoja na nitakuja kukuchukua.
Talaka2: nilikupa onyo la kwanza tarehe, lakini umefanya tena nenda kwa wazazi wako kwa miezi 3 nadhani utakuwa umejirekebisha nitakuja kukuchukua.
Talaka 3: kama walivyosema wehenga "kunguru afugiki" sasa naona wewe umekuwa kunguru siwezi kukufuga ukiona sehemu nipo pita mbali watoto wangu nitawatafutia mama mdogo wa kuwalea. Usinitafute tena mbuzi wa mjini wewe unakula hadi mifuko ya rambo mchachu kama ndimu iloyochacha. Mwili unamakovu utafikiria batiki ya Kichina.
Ndugu wana jf....naombeni msaada wenu kuhusu kuandika barua ya talaka. Hua nasikia tu talaka tatu. Zinaandikwaje?...msifanye jokes.....nipo serious
talaka ya1: nakuonya mke/mume wangu una nafasi moja bado ya kujirekebisha kaa kwa wazazi wako kwa mwezi mmoja na nitakuja kukuchukua....
talaka2: nilikupa onyo la kwanza tarehe..... lakini umefanya tena nenda kwa wazazi wako kwa miezi 3 nadhani utakuwa umejirekebisha nitakuja kukuchukua,....
talaka 3: kama walivyosema wehenga "kunguru afugiki" sasa naona wewe umekuwa kunguru siwezi kukufuga ukiona sehemu nipo pita mbali watoto wangu nitawatafutia mama mdogo wa kuwalea......., usinitafute tena mbuzi wa mjini wewe unakula hadi mifuko ya rambo.........., mchachu kama ndimu iloyochacha,........ mwili unamakovu utafikiria batiki ya kichina,
Talaka ya1: nakuonya mke/mume wangu una nafasi moja bado ya kujirekebisha kaa kwa wazazi wako kwa mwezi mmoja na nitakuja kukuchukua.
Talaka2: nilikupa onyo la kwanza tarehe, lakini umefanya tena nenda kwa wazazi wako kwa miezi 3 nadhani utakuwa umejirekebisha nitakuja kukuchukua.
Talaka 3: kama walivyosema wehenga "kunguru afugiki" sasa naona wewe umekuwa kunguru siwezi kukufuga ukiona sehemu nipo pita mbali watoto wangu nitawatafutia mama mdogo wa kuwalea. Usinitafute tena mbuzi wa mjini wewe unakula hadi mifuko ya rambo mchachu kama ndimu iloyochacha. Mwili unamakovu utafikiria batiki ya Kichina.
.
Haachwi mtu hapa, nitakun'gang'ania hadi kieleweke. Nimechekaje!!!!! umenitakatashia siku
Andika talaka.Ndugu wana jf....naombeni msaada wenu kuhusu kuandika barua ya talaka. Hua nasikia tu talaka tatu. Zinaandikwaje?...msifanye jokes.....nipo serious