King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,977
Hahaha kumbe talaka ina signature kama cheti cha ndoa khaa. Ila kweli sijawahi ona talaka na ujanja wote huu.
Andika talaka.
Nenda stationary ukatoe copy ziwe tatu, hapo utakua umemaliza mchezo, na hizo ndio talaka 3.
Matumizi yake ni kua moja atasaini na kukuachia wewe, moja ya kwake na ya mwisho atawapa wazazi/walezi wake.